Na Richard Makore
22nd May 2012
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinafanya uchunguzi ili kubaini wanachama wao wanaoshiriki...
Source BBC na Ahmed Rajab
Tanzania kumbe ni miongoni mwa nchi ambazo ni vipenzi wa marekani kwa kuwa ametoa ardhi kubwa kwa marekani na kuitwa kwake kwake ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chuoa...
Jana nikuwa kwenya daladala kukawa na majadala baina ya abiria. Wenga wa wawachangiaji walikuwa wanasema ukitaka nchi hii itoke hapa ilipo na ipige maendeleo ya haraka ni lazima CCM ife na iondoke...
Leo nimesikia kutoka kwenye kongamano la waislamu pale viwanja vya carimjee wakilalamika wanataka usawa na wamechoka kunyanyaswa.
Wanataka katiba mpya inayosema uongozi wa nchi ni nusu kwa nusu...
Baada ya kufanyika mabadiliko katika baraza la Mawaziri tulipata kusikia baadhi ya mawaziri wakiachishwa kutokana na kutokuwa na utendaji mzuri au kwa kuonewa kama "walivyojitetea" na Mh. Abdalla...
The landgrabbing statistics worldwide and Africa in particular is not onlyoverwhelming but is also extraordinary shocking.
According to International Food Policy Research Institute (IFPRI)...
Nimesikia kutoka kwa rafiki kuwa January Makamba kiongozi Mzalendo aliyeko CCM na Vuvuzela la CCM Nape Nnauye watakuwa kwenye kipindi cha generali on Monday leo tarehe 21/05/2012 saa 2.30 Usiku...
WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, kwa mara nyingine tena, ameibua suala zima la mikataba tata baina ya serikali na makampuni ya umeme nchini, akimtaka pia Waziri mpya wa Nishati na...
Na nukuu.
Ndugu zangu watanzania haswa vijana ambao bado tungali na nguvu ya kupigania Haki na utu uliopotea katika Taifa hili. Kwa faida yetu kizazi chetu na wajukuu zetu, na tufanye hivyo sasa...
Mbunge Joshua Nasari na Kangi Lugora wakitoa shukurani zake kanisani.
Gladness Mushi wa Full shwangwe -Arusha
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Bw Joshua Nassari leo amefanikiwa kutoa...
na Mwandishi wetu,
WAZIRI Kivuli wa Nishati na
Madini, John Mnyika, kwa
mara nyingine tena, ameibua
suala zima la mikataba tata
baina ya serikali na
makampuni ya umeme nchini, akimtaka...
Hi, wanaJF mkumbuke katika serikali ya awamu ya tatu Mhe. Dr Abdallah Kigoda alikuwa waziri wa mipango na uchumi na mambo yalikwenda vizuri shilingi yetu ilikuwa na thamani mfumko wa bei haukuwa...
Kwa muda sasa nimejaribu kujikumbusha hata mtendaji mmoja ambaye rais yeye mwenyewe moja kwa moja amemuwajibisha kwa kipindi chake cha urais nikilinganisha na teuzi alizokwishafanya, sijapata...
WAFANYAKAZI wa Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) wameibua hujuma zinazofanywa na baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo wasio waaminifu na kukabidhi majina hayo kwa Waziri wa Nishati na...
Huu ni uteuzi uliotangazwa muda mfupi uliopita
TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateuaMajaji wawili wa Mahakama Kuu ya...
Marais toka awamu ya kwanza hadi ya Tatu hatuwaona watoto wao kwenye hizo sherehe za Mawaziri kuapishwa
Ni Miaka Miwili na Nusu imebaki wataichukua ikulu hapo 2015?
Ridhiwan Kikwete akizungumza...
'Ziara' zangu ofisi za Serikali zinaelekea kubaya.Leo nilikuwa TAKUKURU ambapo mteja wangu mmoja anahojiwa akidaiwa kula rushwa ya shilingi laki tatu ili amwamishie mwanafunzi wake shuleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.