Dr. Abdallah Omary Kigoda angepewa uwaziri wa fedha na uchumi

kkitabu

Senior Member
Dec 27, 2011
140
47
Hi, wanaJF mkumbuke katika serikali ya awamu ya tatu Mhe. Dr Abdallah Kigoda alikuwa waziri wa mipango na uchumi na mambo yalikwenda vizuri shilingi yetu ilikuwa na thamani mfumko wa bei haukuwa kabisa nakumbuka wakati Mkapa anamalizia kipindi chake cha mwisho 2005 kilo ya sukari ilikuwa sh600 tu hivi sasa imefikia sh.2,400. Mhe. rais nakupongeza kwa kuona utendaji wa Dr. Kigoda na hivyo kumrudisha kwenye Baraza la mawaziri. Lakini ingekuwa vema kama ungempa wizara ya fedha na uchumi kwani ni mtu mwenye uzoefu na angesaidia kurekebisha hali tuliyo nayo hivi sasa ya maisha kupanda.
 
Kazi za wizara karibu zote ziko interlinked....will he get the support from other ministries to be able to deliver?
 
Kigoda alisimamia kuuza nchi kwa kubinafsisha viwanda vyetu uku naye akifanikiwa kupata nae umiliki
 
Back
Top Bottom