Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkombozi, Jan 15, 2011.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Leo nimesikia kutoka kwenye kongamano la waislamu pale viwanja vya carimjee wakilalamika wanataka usawa na wamechoka kunyanyaswa.

  Wanataka katiba mpya inayosema uongozi wa nchi ni nusu kwa nusu.

  Mimi nikajiuliza hilo limetoka wapi? Je Zanzibar itakuaje? Nako iwe nusu kwa nusu?

  Mi nadhani uongozi wa nchi si wa kupeana bali ni uzoefu na kua na dhamira ya dhati ya kuikomboa chi na kuwaondolea wananchi wake umaskini, haijalishi we ni dini gani

  Aidha, wameitaka serikali kuwaonya Maaskofu wanaotoa matamko ya kutotambua viongozi.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama hii ni kweli basi kazi tunayo...... lakini am sure hawa wapuuzi wachache sio representation ya ndugu zetu waislamu, na watu kama hawa ni wa kuogopa kama ukoma.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuna shida gani ikiwa nusu kwa nusu unaona watapata sana,ha!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kweli kwenye mahitaji ya katiba mpya tunatofautiana sana.

  Kwanza napenda niwafahamishe waislamu hao kwamba katiba ni ndiyo skeleton ya serikali, lakini kwa bahati mbaya serikali yetu haina dini, hivyo wasahau kabisa suala la dini ya Kiislamu kuwemo kwenye katiba....
  Nasikitika mpaka leo hao ndugu wanaonyesha kutojua hilo kabisa, au kwa maksudi kulipuuza!

  Lakini pia napenda kujua anayewaonea waislamu ni nani na anapata wapi nguvu hiyo?
  Mkuu wa serikali kwasasa ni mwislamu, sasa uonevu huo yeye hauoni?
  Ndugu Waislamu, hakuna anayewanyanyasa, mnajinyanyasa wenyewe kwa kujiona inferior mbele ya Wakristo...
  Kulalamalalama huku kwaajili ya masuala ambayo si ya msingi ndiyo kunawafanya mzidi kuzama kwenye giza la kutoeleweka..
  Ni ushauri tu!

   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo unataka vigezo vya kupata uongozi iwe ni DINI.... Okay
  Wakristo % ngapi
  Muslims % ngapi
  Wapagani % ngapi
  Hindu % ngapi
  Rasta % ngapi
  Budha % ngapi
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Is that demanding too much? for you.

  Kwa hiyo wewe unataka vigezo viwe
  75% christian
  25% others (all)

  hapo hakun udini ha!
   
 7. Ncha ya Upanga

  Ncha ya Upanga Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili likitendeka ndio litakuwa suluhisho la kuondoa kero za mgawanyo wamadaraka bila kulikandamiza tabaka moja dhidi ya lingine.
  Kama serikali iliteua mawaziri kwa misingi ya mikoa wanayotoka, basi hata hili la dini linaweza kuzingatiwa.
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wamesoma Ilimu akhera ambayo wengine hawajasoma.
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna anaye waonea ndiyo maana wanataka nusu kwa nusu kuna ubaya gani?
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  ...bro PJ, these days unapandishwa mdadi sana na haya mambo ya udini ee?
  Don't believe everything you read/hear kwenye vikao vya kahawa bana.
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Welcome to the new Lebanon.
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sitaki kabisa hivyo vigezo...... mtu uwezo wake ndo umpe wadhifa huo mi sijali ni dini gani..... TENA INGEKUWA MIMI KWA HUU UOZU NINGETAKA VIONGOZI WOTE WAPIGWE CHINI TUANZE UPYA......, tatizo sio dini ni uwajibikaji...... Watu kama wewe TOPICAL ni wa kuogopa kama UKOMA.... nina wasiwasi na uraia wako sababu huitakii mema TANZANIA.... labda umetokea IRAN
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Alaa!
  wewe kabla hujapta cheo ulishaanza mkwara wa kujua nani mtanzania au nani siyo pole sana!

  Vigezo vyote vizingatiwe, elimu, uzoefu na dini pia, huwezi kujaza mawaziri 75% wakristo eti wame qualify sana (injustice) na visingizio ili mpendelewe ..
  Napenda vigezo vyote hadi kwa wakuu wa miko tuwe nusu kwa nusu au proportion
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  @ Topical..
  Hivi uligombea Ubunge ukanyimwa?
  Uliokuwepo kwenye viti maalumu hukupewa?
  Je unao uwezo wa kuwa waziri (kulingana na CV yako) hukupewa?
  Au sababu namba ya viongozi wa dini yako haijafika basi na wewe tukuongezee ili idadi itimie?
  Je ndugu zetu wapagani? wanaviongozi wangapi?
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Na mimi nina dini yangu ya VOICEOFREASON.... kwahiyo sababu sina representative itabidi wanipe nafasi na mimi kama mtanzania..
   
 16. m

  mananasi Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaliozungumzwa viwanja vya Karimjee vimepitwa na wakati, sasa mambo yote yanaangalia vitu vilivyotoka huko Diamond Jubilee. Siyo vitu vya kawaida, jamani waislamu majabari, jamaa hawaogopi kufa kabisssaaaa, duuu!
   
 17. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Hizi kauli za waislam juu ya christians sawa na kauli za Watanzania juu ya wakenya,yaani ni mambo ya nadharia tu baada ya kufikiria na kupanga namna ya kuwa sambamba na kenya tumebaki kupiga politics tu huku wenzenu wanasonga,Wakristo waliwekeza kwenye elimu seriously na kenya pia sasa (aliyekimbia umande)mjinga anapokurupuka na kudhani kwamba anaweza kumshinda au kumzidi(msomi) mwerevu bila kujiuliza kwanini fulani anakuzidi au anafanikiwa...!!!,that will be a day dream
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haisaidii mimi kuwepo kwenye post wakati najua kuwa wengine wamepewa kwakuwa ni dini fulani ya nyerere, na kwamba watu wake wanapenda kulalamika wasipopewa nafasi nyingi zaidi (kupendelewa) kuliko wengine..kwa hiyo iwepo kwenye katiba nusu kwa nusu ili jamii husika iwapelekee a most qualified person mamlaka imteue!
   
 19. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Jamani uongozi sio swala la nani kupata au kugawana! Hivi kwanini hamtaki kufikiri kwa akili zenu wenyewe? Mpaka watu wengine wafikiri kwa niaba yenu? Haya Uongozi ni mambo mengi pamoja na uwezo ndio maana unaona kuna watu wa dini tofauti serikalini na hawakupata hizo nafasi kutokana na dini zao bali uwezo wao. Mnajadili kama vile hamjaenda shule. Sasa uongozi ukifuata dini ndio tuseme hakuna haja ya kuwa na vyama vya kisiasa vinavyowakilisha mawazo ya wananchi. .... Waislamu, wakistro, budhaa, wapagani nk.
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  tulishazoea hizo story, mmesoma sana nyinyi kupita watu wote Tz..pole..huwezi kutudanganya ili muendlee kupendelewa
   
Loading...