January Makamba na Nape Nnauye on Jenerali Ulimwengu on Monday | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba na Nape Nnauye on Jenerali Ulimwengu on Monday

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gizakuu, May 21, 2012.

 1. G

  Gizakuu Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikia kutoka kwa rafiki kuwa January Makamba kiongozi Mzalendo aliyeko CCM na Vuvuzela la CCM Nape Nnauye watakuwa kwenye kipindi cha generali on Monday leo tarehe 21/05/2012 saa 2.30 Usiku. Na watazungumzia mambo yaliyotokea kwenye vikao vya CCM Dodoma hivi karibuni na mstakabali wa CCM.

  My take.
  Nini future ya CCM mikononi mwa hizi damu changa? Watafanikiwa kuvadili huu upepo mbaya kwa chama chao?
  STAY TUNED!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli basi watapata maswali yenye changamoto nyingi, maana kwa sasa wamekuwa kama wanasarakasi wanaotafuta kazi mitaani.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kipimo cha uzalendo wa MAKAMBA ni kipi?????nifahamishe nami niweze kuwajuza wenzangu
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Tutapiga simu kuchangia
   
 5. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tusubiri kuckia chadema ikitajwa mara100 mdomoni kwa Nape
   
 6. W

  WildCard JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Jenerali,
  Tafadhali waulize pamoja na mengine yafuatayo:
  -Rais wa Nchi kuchaguliwa kwa "simple majority" huku mgombea wao wa AruMeru alitakiwa kupata 50% ya kura za maoni!
  -RUZUKU kwa vyama vya SIASA ilivyo mzigo kwa walipa kodi wa nchi hii ambao tuliowengi sio wanachama wa vyama hivi.
   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu WilCard umesahau na huu mzigo wa wabunge wa viti maalum
   
 8. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Hili ndilo la muhimu
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  PakaJimmy acha sooo mkuu? Wanasarakasi tena, nimecheka sana!!!!!
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu Gizakuu, kwa taarifa yako, J. Makamba hana uzalendo ni mchumia tumbo, kwenye kikao cha bunge kilichopita hukona unafiki wake? Okay, au hukuona email ambayo mwanvita na yeye January walivyokuwa wana m-blackmail bosi wa ballick gold (baasha wake mwamvita), ili aweze kutoa ela za kampeni kwa January, huku mwamvita akimuahidi huyo bwana wake kuwa January atakuwa waziri wa madini....
   
 11. Kamisaa

  Kamisaa Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 12. clet 8

  clet 8 JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,065
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Ngoja tuone mjadala utakavoenda, make ndiyo umeanza.
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
   
 14. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nape analazimisha ccm ni chama cha wanyonge, kinatetea watu wa hali ya chini, kweli kazi hipo...
   
 15. o

  olng'ojine Senior Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vijana wa wanabanwa vilivyo na maswali ya Generali
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Wapo naona Jenerali kawabana kuhusu kuvua gamba wameishia kuhama mada na kutotoa majibu kamili, Jenerali kaamua kuachana nao!!!!
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Haya, suala la mgombea binafsi hilo!!!!! Sioni jibu la maana wanalotoa!!!
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwani serikali ilokwenda bungeni kupinga dhana ya mgombea binafsi ni serikali ya nani? Hawajatoa jibu!!!! Siasa tupu naona Nape anapaza sauti tu but data hana!!!
   
 19. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makamba na Nnauye wanatia huruma sana wanapoitetea ccm. Ni sawa na kumtetea mwizi wa kuku aliyeshikwa na kuku mkononi.
   
 20. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,647
  Likes Received: 5,237
  Trophy Points: 280
  Very shameful, hawajibu hoja wanajibu rangi ya chama.
  Heshima kwako mwanaharakati Jenerali Ulimwengu.

  May take: Watanzania tujitahidi sana kuwapeleka watoto wetu shule na tuhakikishe wanaelewa wanachofundishwa.
   
Loading...