Hebu nitajieni sifa tano za kuifanya CHADEMA kushinda uchaguzi 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu nitajieni sifa tano za kuifanya CHADEMA kushinda uchaguzi 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by michaeljuma1986, May 21, 2012.

 1. m

  michaeljuma1986 Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naombeni tuchangie bila ushabiki.
   
 2. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kama hujui basi wewe kilaza haswa!!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwangu mimi sifa tano hizi hapa:

  1. CHADEMA sio CCM
  2. CHADEMA sio CCM
  3. CHADEMA sio CCM
  4. CHADEMA sio CCM
  5. CHADEMA sio CCM
   
 4. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Uliza igunga, arumeru na subiri sumbawanga
   
 5. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mshindani wake mkubwa hawezi tena kushinda bila kutumia hela ambazo hana tena
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  1.CCM imechokwa watu wanaamini kwamba zile meli na viwanja vya ndege walivyoahidiwa ni uzushi tu bai bai ccm
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Chadema hawezi kushinda mwaka 2015, labda kama ataiba kura.
  .
  KUBALI KUCHAFUA JINA, JENGA AFYA.
   
 8. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Aisee! Kila nikijaribu kufikiria kijiji ulichozaliwa jibu linakuja kijiji cha Nkundumoto. Hebu tuwekee wazi mkuu!
   
 9. m

  michaeljuma1986 Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wachangiaji uzalendo huwa unaanza na wewe,kama unajua sifa changia kama hujui soma michango ya wenzako,note kila mmoja awemhalili wa mwenzake
   
 10. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  It is real difficult to know!!! it is the weakness of CCM giving CDM levarage but not CDM standing on its own... kwa sababu today... hakuna wanachama wanaojiunga kwa ideology... not at all... CDM is standing without base for sure it is dangerous... let borrow a leaf rom Mrema...
   
 11. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kasome ilani ya CDM acha maswali ya kinafki nafki hapa jf.
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wewe ni ndumila kuwili ukipata Utupe ya Shibuda?
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  1) Maadili mabovu, ushahidi: Katibu Mkuu kuzaa nje ya ndoa (na mchumba)

  2) Uvunjifu wa amani, ushahidi: Wamepewa mtaa wamemla mtu sikio kwa kuwanyima chumba cha kufanyia uzinifu wakipewa nchi? nani atabaki na masikio?

  3) Hawana muelekeo, ushahidi: Vijana wao wanalumbana Mwenyekiti na Naibu wake.

  4) Hawaheshimu fedha za walipa kodi, ushahidi: Kulipia walinzi wa kanisa mishahara na kulipia hausigeli wa "mchumba" per diem. Kukwepa kulipa kodi.

  5) Uongo na uzushi, ushahidi: Kontena la karatasi za kura feki, mpaka leo halijaonekana.

  6) Wanataka kuigawa nchi, ushahidi: Kauli za Nassari hivi karibuni.
   
 14. b

  blackwizard Senior Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kumbe vilaza wengi? hakuna sababu ni ushabili tuu?
   
 15. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Mkuu unaona sana! Pamoja nawe!
  Na hakika hili ni janga, uongozi umegeuzwa kama mpira wa miguu, kukosea kwa huyu kupanda kwa huyu, alafu basi! Hakuna hoja, sera, mantiki, falsafa, msingi, msimamo,nk. wamekalia kiti, na wengine nao wamekosa hayo, wanakitaka kiti. Wameshatuona vilaza, lakini fimbo yao iko jikoni, ndani ya ubongo wako na wangu.
  Mungu wetu anaita!
   
 16. i

  imamu Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.Dhamira ya dhati ya kulikomboa taifa kuondokana na umasikini wa kipato na umasikini wa fikra
  2. Sera nzuri zinazolenga kuboresha maisha ya watanzania. Kumbuka Mbowe ndiye aliyetoa wazo la kuufanya Dodoma kuwa mji wa vyuo vikuu ili kuharakisha ukuaji wake na hatimae kuwa makao makuu. Alisema hayo 2005 mjini Dodoma katika kampeni zake kama mgombea urais katika viwanja vya barafu.
  3. Viongozi shupavu, Mbowe, Dr Slaa, Zito Kabwe, Mnyika, Halima Mdee,bila kumsahau my man Suguuuuu, n.k
  4. Kukubalika katika jamii hasa baada ya Kikwete ****** huyu kuiua nchi na ccm yenyewe
  5. Wananchi kugundua kuwa CCM sio tena kama ile ya Nyerere
  6. Utendaji mbovu wa serikali na mashirika ya Umma kama UDOM, TBS, RAILWAY, TANESCO, nk
  7. Ukosefu wa ajira nchini na namna ambavyo CCM ilivyoshindwa kulinasua tatizo
  8. Chuki ya Vijana kwa serikali iliyopo madarakani
  9. Ahadi hewa za Jakaya Kikwete na uswahili uliokithiri katika uongozi wake
  10.Wizi wa pesa za umma unaofanywa na serikali na mashirika yake,kmf mishahara hewa, matumizi ya magari ya kifahari huku wananchi wengi wakiishi maisha ya taabu
  11. Kung'ang'ania posho serikalini
  12. HILI NI KUBWA LAO SASA- WIMBI LA MABADILIKO NDUGU YANGU. WATU WANATAKA MABADILIKO- angalia wala unga na cocaine wale wa nchi za kiarabu wanataka chaguzi, Misri waliandamana usiku kucha, Syria, Libya, nk.
  11.
   
 17. i

  imamu Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Au niongeze? Nyingine utazitaja wewe mwenyewe najua unazo kibao
   
 18. i

  imamu Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.Dhamira ya dhati ya kulikomboa taifa kuondokana na umasikini wa kipato na umasikini wa fikra
  2. Sera nzuri zinazolenga kuboresha maisha ya watanzania. Kumbuka Mbowe ndiye aliyetoa wazo la kuufanya Dodoma kuwa mji wa vyuo vikuu ili kuharakisha ukuaji wake na hatimae kuwa makao makuu. Alisema hayo 2005 mjini Dodoma katika kampeni zake kama mgombea urais katika viwanja vya barafu.
  3. Viongozi shupavu, Mbowe, Dr Slaa, Zito Kabwe, Mnyika, Halima Mdee,bila kumsahau my man Suguuuuu, n.k
  4. Kukubalika katika jamii hasa baada ya Kikwete ****** huyu kuiua nchi na ccm yenyewe
  5. Wananchi kugundua kuwa CCM sio tena kama ile ya Nyerere
  6. Utendaji mbovu wa serikali na mashirika ya Umma kama UDOM, TBS, RAILWAY, TANESCO, nk
  7. Ukosefu wa ajira nchini na namna ambavyo CCM ilivyoshindwa kulinasua tatizo
  8. Chuki ya Vijana kwa serikali iliyopo madarakani
  9. Ahadi hewa za Jakaya Kikwete na uswahili uliokithiri katika uongozi wake
  10.Wizi wa pesa za umma unaofanywa na serikali na mashirika yake,kmf mishahara hewa, matumizi ya magari ya kifahari huku wananchi wengi wakiishi maisha ya taabu
  11. Kung'ang'ania posho serikalini
  12. HILI NI KUBWA LAO SASA- WIMBI LA MABADILIKO NDUGU YANGU. WATU WANATAKA MABADILIKO- angalia wala unga na cocaine wale wa nchi za kiarabu wanataka chaguzi, Misri waliandamana usiku kucha, Syria, Libya, nk.
   
 19. p

  pembe JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kila sababu za kushinda wanazo ila moja tu hawajajipanga sawasawa hasa ngazi za mkoa, wilaya na kata. Sera na dhamira zao ni nzuri lakini wakichukua nchi watajipangaje? Watupe mwelekeo.
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Unazungumzia nini mkuu? moja ya sera yao ni kurudisha nguvu kwa wananchi, labda kama unamaanisha kwamba hawajajipanga kutawala maeneo ambayo hayana watu, hasa angani!!!!
   
Loading...