Swali jepesi kwa wanazi wa CHADEMA

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Nauliza hivi;

Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
 
jibu simpo!!!
Hatukubali.

Yes ninakubali akipitishwa na CC ya chama chake na hata akienda CUF akienda CCM au akiwa mgombea binafsi nitampigia kura popote atakapoenda...yeah! Thts how deep I feel Zitto

He's daring and consistent
 
Tatizo si kukubali kamati kuu ikimukubali basi sisi tunamuunga mkono but CHADEMA we have our strategies to choose one who can compite with magamba's
 
Tatizo si kukubali kamati kuu ikimukubali basi sisi tunamuunga mkono but CHADEMA we have our strategies to choose one who can compite with magamba's

Strategy ya siasa hauijui, si kama unavyotaka wewe. Strategy sio ku compete na wapinzani, strategy ni kukubalika na wapinzani na kupata kura za baadhi yao, kwani kura zenu pekee hazitoshi. Kumbuka hili darsa la bure nililokupa wewe na nna uhakika viongozi wako watafaidika nalo pia.
 
Tatizo si kukubali kamati kuu ikimukubali basi sisi tunamuunga mkono but CHADEMA we have our strategies to choose one who can compite with magamba's

Wewe kama mnazi ndiye nnae-kuuliza, kwani hata hiyo kamati kuu inakuwakilisha wewe mnazi wao.
 
Hivi Zito Kabwe ana akili ya kutosha kuwa Rais wa nchi? Sijajua, nafikiri kwenye urais kunahitaji hekima nyingi sana. Otherwise we can end up having a rubbish leadership like that of Jakaya.
 
Hivi Zito Kabwe ana akili ya kutosha kuwa Rais wa nchi? Sijajua, nafikiri kwenye urais kunahitaji hekima nyingi sana. Otherwise we can end up having a rubbish leadership like that of Jakaya.

Wewe utakuwa wa kanda ya Kaskazini.
 
Back
Top Bottom