JK kuitwa G8 ni kwa sababu katoa Ardhi kubwa kwa nchi za Magharibi

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source BBC na Ahmed Rajab

Tanzania kumbe ni miongoni mwa nchi ambazo ni vipenzi wa marekani kwa kuwa ametoa ardhi kubwa kwa marekani na kuitwa kwake kwake ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chuoa kwa sifa ya kukua kwa uchumi na kilimo kumbe ni kulainishwa zaidi ili atoe zaidi ardhi kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji.

My concern

Safari za JK jamani kumbe tunauzwa hivi hivi mikataba ya sasa haina tofauti na ya Karl Peters na Chief Mangungo (Jk) kwa sasa tuamke.
 
Nchi za magharibi hata siku moja haziwezi zikafurahi kuona Tanzania inapata maendeleo ya kweli. Maendeleo ya kweli ya Tanzania na ya nchi nyingine za Afrika yanahatarisha maslahi ya Magharibi.
Mimi ninapoona kiongozi ye yote yule wa Afrika anasifiwa sana huwa ninaamini amelinda maslahi ya Magharibi vizuri, amefanya yanayotakiwa na hao jamaa!!.
 
ni sawa chief mangungo tu.......... aliuza watu wake

Hii ya kugawa ardhi kwa wazungu kwa miaka zaidi ya 15 itatusababishia mauaji makubwa sana

kwa wanaokumbuka habari kruger brent etc
 
Sasa CCM mna mambo mengi ya kuwajibu watanganyika
 
mimi nilikuwa najiuliza sisi hali ya uchumi wetu na chakula tupo tupo tu, kashilingi ketu dhidi ya fedha za nchi nyingine hata za Afrika tupo chini, sasa huku kushaangiliwa na kuonekana bora kuliko wengine ni nini? kwenda G8 kuwafundisha kenya jinsi ya kulima chakula au Uganda?
 
Ameitwa sababu ya ucheshi wake na tabasamu. Putin, Obama and the rest need a person who could be intertaining.
 
Source BBC na Ahmed Rajab

Tanzania kumbe ni miongoni mwa nchi ambazo ni vipenzi wa marekani kwa kuwa ametoa ardhi kubwa kwa marekani na kuitwa kwake kwake ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chuoa kwa sifa ya kukua kwa uchumi na kilimo kumbe ni kulainishwa zaidi ili atoe zaidi ardhi kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji.

My concern

Safari za JK jamani kumbe tunauzwa hivi hivi mikataba ya sasa haina tofauti na ya Karl Peters na Chief Mangungo (Jk) kwa sasa tuamke.

yule jamaa nimemsikia leo,amesema ukweli mtupu jaman,na amesema kabisaa kuwa tanzania kwa sasa ina uswahiba wa hali ya juu na usa,pia ndo nchi inayoongoza kugawa ardhi ukanda wa afrika mashariki,,,,
 
Source BBC na Ahmed Rajab

Tanzania kumbe ni miongoni mwa nchi ambazo ni vipenzi wa marekani kwa kuwa ametoa ardhi kubwa kwa marekani na kuitwa kwake kwake ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chuoa kwa sifa ya kukua kwa uchumi na kilimo kumbe ni kulainishwa zaidi ili atoe zaidi ardhi kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji.

My concern

Safari za JK jamani kumbe tunauzwa hivi hivi mikataba ya sasa haina tofauti na ya Karl Peters na Chief Mangungo (Jk) kwa sasa tuamke.

CCM chini yake wanapendekeza muundo wa katiba ya USA, na mbona anaenda enda sana kwenye Tume ya katiba kulikoni?
 
Tanzania inauza ardhi kwa wazungu kwa kisingizio cha uwekezaji, huku wananchi wake wakihangaika kwa kukosa ardhi. Mfano mzuri ni hapa Arumeru, Wameru wanavamia mara kwa mara mashamba ya wazungu kwani hawana mashamba ya kulima. Huku serikali yao inaendelea kutoa ardhi kwa wazungu. Inauma sana.
 
sasa kama wanampenda sana JK kwa nini wasiwe pia wanazilipia hizo safari zake za nje?? kwanini walipa kodi ndio wagharamie
 
Tanzania inauza ardhi kwa wazungu kwa kisingizio cha uwekezaji, huku wananchi wake wakihangaika kwa kukosa ardhi. Mfano mzuri ni hapa Arumeru, Wameru wanavamia mara kwa mara mashamba ya wazungu kwani hawana mashamba ya kulima. Huku serikali yao inaendelea kutoa ardhi kwa wazungu. Inauma sana.

Hii nchi ina mapori makubwa mengine hayajawahi kukanyagwa kabisa na binadamu toka hii dunia imekuwepo, inakuwaje watu wanakosa ardhi ya kulima?

hivi tunauza ardhi au tonakodisha ardhi?
 
Mungu amewajaalia nchi nyingine kuwa na marais wenye akili zao lakini sisi katupa rais mwenye akili za kushikiwa. Tusimlaumu sana yeye, haya yote ni matokeo ya kutotumia vizuri kura zetu wakati wa uchaguzi wa rais.
 
wadau naomba kufahamishwa hv ni kweli mkuu wa kaya alipata GPA ya 1.8 nilishawahi kuuliza humu jamvini sikujibiwa mwenye kujua naomba ajibu
 
Back
Top Bottom