Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Huu ni uteuzi uliotangazwa muda mfupi uliopita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateuaMajaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.
Walioteuliwani Jaji Semistodes S. Kaijage na Jaji Kipenka M. Musa na kwa mujibu wataarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Mei 21, 2012 na Katibu Mkuu Kiongozi, BaloziOmbeni Y. Sefue, uteuzi wao ulianza tokea Machi 15, mwaka huu, 2012.
Kablaya kuteuliwa kwake kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji Kaijage (57) alikuwa Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Dares Salaam tangu Mei 17, 2007. Aliteuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu Novemba 28,mwaka 2000.
NayeJaji Musa (57) alikuwa JajiMfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Tanga kabla ya kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakamaya Rufani. Piaamewahi kuwa Wakili wa Serikali, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba. Aliteuliwa kuwa Jajiwa Mahakama Kuu Septemba 13, 2004.
……..Mwisho………..
Imetolewa na:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dares Salaam.
21 Mei, 2012
NB: Wateule wote hawa wamebakisha miaka mitatu kabla ya kustaafu
TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI