Africa ikiwemo Tanzania kwisha kazi, cheki hiki kipande ujionee africa inavyo gawanywa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Africa ikiwemo Tanzania kwisha kazi, cheki hiki kipande ujionee africa inavyo gawanywa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, May 21, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  The landgrabbing statistics worldwide and Africa in particular is not onlyoverwhelming but is also extraordinary shocking.

  According to International Food Policy Research Institute (IFPRI) aUS-based policy think thank, since 2006 between 15 million and 20 millionhectares of farmland around the world have been secured for biofuel and grainproduction, with most of these deals taking place in Africa .

  The past five years has seen more African rich agricultural lands beingtaken over by food insecure but rich countries in the Middle East and richmultinational firms in Europe, US, and Asia particularly China, Korea andIndia.
  Some of the land acquisitions have occurred under bizarre and non-transparent circumstancesmaking experts to warn of the consequences if the practice is not stopped.

  In Mozambique for example China has US$800 million investment to expand100,000 to 500,000 metric tons of rice production in the country and Skebab(Sweden) and Sun Biofuels (UK) have acquired more than 100, 000 hectares ofland for biofuel production.

  In Ethiopia FloraEcoPower (Germany) has acquired 13,000 hectares for bio-cropproduction while India is investing US$4 billion in agriculture, flower growingand sugar estates in the country.
  In Tanzania SunBiofuels (UK) has acquired 5,500 hectares of land for sorghum (biofuel)production while the Chinese firm Chongqing See Corp has secured 300 hectaresof farm lands for rice production.  In the sameTanzania the Gulf State of Saudi Arabia has requested a lease of 500,000hectares of land.  In SouthernSudan Jarch Capital (USA) has signed a 400, 000 hectare deal with a local armycommander while the Middle East and Gulf States of Qatar, Saudi Arabia, UnitedArab Emirates, Jordan, Kuwait and Egypt together have about 1.045m hectaresunder their thumb in that country. In the same Sudan, South Korea is runningaway with 690,000 hectares of farmland secured for wheat production.  In Nigeria,Trans4mation Agrictech Ltd (UK) has secured 10,000 hectares of land.  In Angola,Lornho (UK) has 25,000 hectares leased to her for rice cultivation and isnegotiating for a further 125,000 hectares in Malawi and Mali.  China hasrequested 2 million hectares for jetropha production in Zambia; and in DemocraticRepublic of Congo the Chinese firm ZTE International has secured 2.8 million hectares for biofuel oilpalm plantation [3].

  Hii ni introduction ukitaka kusoma tarifa kamili na hekari zilizo kamatwa tembelea http://farmlandgrab.org/17889   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ukiona ngozi nyeupe zinakusifia sifia sana na kukualika alika kwenye mikutano yao usidhani wanakupeenda saaanaaaa!!
  AKILI KUMKICHWA
  ...
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nani kawapa hii land? Mbona hatujasikia bungeni?
   
 4. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Viongozi wetu lazima watambue kuwa bado tunaendelea kuzaliana hivyo vizazi vyetu vitahitaji ardhi ya kutosha ili kukabiliana na changamoto za baadaye!
   
 5. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  JK anatutosa kweliiiiiii?
   
 6. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  kwa staili hii, tumekwisha.. ukiachilia mbali na jinsi wakenya wanavyozidi kununua ardhi kinyemela hapa Tanzania, njaa zetu zinatumaliza
   
 7. bona

  bona JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  this is outregious, nadhan kwa data hizo hata tz tuna afadhali labda mpaka tutapowapa hao wasaudi hizo ekari laki 5.
   
 8. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Redivision of Africa by the MNC and MTC's that is a reality than the truth.Tujiandae tena kufanya harakati za kuikomboa Afrika.
   
 9. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Bunge sio sehemu ya kutangaza jinsi ardhi inavyogawiwa! Hivi sasa kuna ardhi kubwa sana imechukuliwa na wawekezaji wa nje kule Kilwa, Lindi, Mpanda kwa ajili ya bio-fuel. Mambo haya hufanyika kimya kimya hadi hapo wananchi watakaposhtuka ndipo ukweli hufahamika, lakini huwa haisaidii badala yake serikali hutumia nguvu kubwa kuwalinda wageni hao.
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Tumekwisha wakuu, do, kuna watabili waliwahi kutabili kutakuwa na utumwaw wa pili na huu utakuwa mbaya kuliko ile wa kwanza ndo haya
   
 11. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hii ndo point, na jaribu kutgembele website yao kabisa orodha ni ndefu sana nimefanya kukata kisehemu tu, orodha ni kubwa sana
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hii si ndio wizara ya Tibaijuka!
  Zitto au Filikunjombe ebu idake hii na uambae nayo bungeni.
  Mnataka miaka ijayo tuanze kuishi kwa kubanana kama Kenya.
  Tumezoea fresh air yetu hayo mambo yenu ya biofuel na food security uko uko!
   
 13. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,331
  Likes Received: 3,124
  Trophy Points: 280
  Angalia hii hapa ilitokea Uganda hapo nyuma;
  A row over the conversion of rainforests into biofuel plantations is creating a grave political crisis for a country until now seen as a beacon for democracy in Africa. The issue has brought to a head the simmering conflicts between short-term economic gains and the conservation of vital natural resources in the continent.
  The president of Uganda, Yoweri Museveni, is this week pressing ahead with plans to give a large chunk of one of the country's last protected forests to a sugar cane company so it can expand its operations. The Sugar Corporation of Uganda, which is owned by Ugandan Asians, wants to expand production to cash in on the booming global market in sugar for biofuels. The crisis reached boiling point last week when a demonstration against the plan in the capital Kampala turned into an ugly race riot. Asian shops were ransacked, an Asian was stoned to death and police killed two demonstrators. The demonstrations have resumed this week, with hundreds of defenders of the forest beaten up by squads of vigilantes known as kiboko, which local media claim are backed by the government.
  Source: http://www.newscientist.com/;
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tatizo langu mimi kwenye hii issue ya land ni Transparency. Kama Rais na mawaziri wake wanaona jambo wanalofanya ni jema kwa Tanzania kwa nini wasiweke wazi? Why are they doing deals in secret? Land zinatolewa na miaka 99! (99) bila watu kujua wamekubaliana nini?

  Kama kuna land wanataka iende kwa wawekezaji, wawe wazi, waseme ni kiasi gani na iko wapi. Ili tujue kama taifa ni kiasi gani kiko chini wa wazungu na kiasi gani tumebakia nacho.

  Na huu mpango unaopigiwa debe na World Economic Forum ni uhuni mtupu maana hauonekani kuhimiza transparency. Rais wetu sasa amebakia kuwa kama dalali wa ardhi. Mara yuko Davos, mara Ethiopia na sasa yuko Marekani. Waziri mkuu wetu naye tuliomuona anapiga kambi South Korea na sasa hawa mabwana wana takriban eka laki moja (100,000). Nina hakika ndani ya miaka 3 watanzania watabaki midogo wazi! Nchi inapigwa mnada vibaya sana. Unatoa ardhi miaka 99 kwa siri?
   
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawa wanazungumzia Aridhi iliyo tolewa kwa ajiri ya kilimo tu hazungumzii za uwekezaji mwingine,

  1. Kule Loliondo si unajua Waarabu wana miliki hecta za kufa mtu?

  2. Kule Serengeti yule mwekezaji SINGITA, na miliki kipande cha iliyo kuwa IKORONGO GAME RESERVE NA NI KWA MIAKA 99 MPAKA SASA HATA KUMI HAIJA ISHA

  3. ILE YA WAMAREKANI KULE KWAO NA PINDA HIJAINGIZWA HUKU

  4. NA TANZANIA MAENEO MENGI YA NA HODHIWA KWA AJILI YA UTALII SO HAYAKO HUMU
   
 16. l

  lum JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tobaa madini yamekwenda gesi hari jojo na hii ardhi pia nayo duuuhh
  jamaani eeeh katiba hiyooo LAZIMA ITULINDE NA hii kimbunga ya matajiri TZ Tusalimike japo kidogo
  AKILI KUMKICHWA
   
 17. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Ni kazi ngumu mno, kwa kuwa ukoloni wa sasa upo ubongoni vichwani mwetu, tofauti na ule wa mwanzo uliojikita kwenye nguvu zetu.
  Lakini "TUNAWEZA", ila tu kwa umoja na kuthubutu, hiyo ndiyo nguvu ya ushindi wetu. Naipenda sana ndoto hii, sitaacha kuiota!
  Mimi na wewe, na si yule, yaani sisi ndio watu mahususi wa kuchukua hatua, na si mwingine.
  Ukoloni huu kuuondoa, si lazima nyundo, ila imani thabiti, yenye mantiki nafsini mwetu juu ya tafsiri sahihi ya maisha. UTU KWANZA!
  Mungu wetu yu tayari kutushindia, anaita sasa!
   
 18. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuna report moja nimesoma kuna kampuni imepewa ardhi kubwa mno kule kwa Pinda,na haya madudu yote yanazidi kushamiri katika awamu hii ya nne!wanagawa ardhi tena bure kwa kisingizio cha uwekezaji alafu wanatuacha kua vibarua kwenye ardhi yetu wenyewe!mapigano ya wakulima na wafugaji hizo ni dalili mbaya sana,tukitoka huko tutahamia kwa hao wachukuaji wanaojiita wawekezaji, Mugabe hakua mjinga wala mnafiki!
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe ni Mtanzania?
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  UJUE WANAKULA!! Yaani UNALIWA NA HAO WANAOKUSIFIA!!
   
Loading...