Kwanza nikiri mimi ni msomaji wa JF(hasa jukwaa la siasa) wa siku nyingi sana.
Lakini leo nimeamua kujiunga rasmi. BACK TO THE TOPIC -:
Swali langu linaenda kwa wanaJF wote lakini hasahasa ni...
Wana-jf nimerudi juzi kutoka Unguja na Pemba. Nimeshuhudia vurugu za wanaojiita wana Uamsho - wengine walibeba vitambaa vyeupe vina damu! Jamaa wanaimba maneno machafu sana kuhusu sisi tunaotoka...
Makanisa zaidi na mali za wakristo zazidi kuteketezwa leo yamechomwa matatu.
Source chanel10 habari
Huku ni kushindwa kwa selikali ya muungano kwani swala la ulinzi na usalama ni la muungano...
Developmental Ethiopia surges forward. ‘Democratic' Tanzania lags behind
Ethiopia Growth and Transformation Plan
Ethiopia is trending. The AfricaReport of May 2012 had Meles...
1 .Vurugu za Zanzibar ni 'unwanted distractions' katika mchakato wa kuandika katiba mpya.
2. Hakuna namna vitendo hivyo vinaweza kuhalalishwa na kutetewa lakini ni matokeo ya muda mrefu ya...
Nina marafiki zangu wa ki Zanzibar wengi sana hata maeneo ninayoishi wako wengi sana. Kuna wengine walienda kwao muda mrefu leo nimewaona wengi kweli wanawasili! Nikajiuliza si hawataki muungano...
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.
Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala...
Mawasiliano kati ya wilaya ya Kilosa na Kilombero yamekuwa shakani baada ya uongozi wa Wilaya ya Kilombero kusitisha uchaguzi ambao ungefanyika jana kwa madai kuwa mgombea wa CDM hana sifa ya...
BAADA ya kimya cha muda mrefu tangu ang'olewe katika nafasi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige ameibuka na kueleza kuwa moja ya sababu ya kuondolewa kwake kwenye nafasi hiyo ni...
Jana baada ya kuchakachachua picha kupitia gazeti hilo na kuweka picha ya mapigano ya Mto wa Mbu kati ya waislam na wakiristo. lkn alidai kwamba ni kosa la Komputa. huyu jamaa kama Nigeria hatunae...
Ivi raisi yupo wapi mambo ya zanzibar yakiendelea?? I think kikwete is nt serious at all...yupo kimya tu anasubiri kukutana wazee wa dar es salaam kulizungumzia....kweli tunae raisi...
Yule wa kusingiziwa popote iwapo changamoto ya wananchi kuhoji hayuko karibu.Yuko mbali mno.Anaendeleza vuguvugu la mabadiliko Mtwara.CHADEMA husemwa kuwa hana nguvu Visiwani.Wenye nguvu ni CCM na...
Mtanzania
''Sumaye aibomoa Takukuru Jumatatu, Mei 28, 2012 08:39 Na Arodia Peter
*Adai wakiitegemea mapambano ya rushwa yatakuwa magumu
*Awataka Watanzania wawe na usajiri wa kukataa ufisadi...
ABOUT MUUNGANO: Muungano umeexpire sababu zake mainly ilikuwa ulinzi ila kwa hekma ya waasisi ukizingatia hali ya kipindi hicho cha kuzungukwa na wakoloni (hofu ya nyerere) na kuhofu mapinduzi...
Source. kipindi dakika 45 ITV LEO SA 3.00 USIKU, BY SEMUNYO(MTANGAZAJI)
ANASEMA
1.ANASEMA MAWAZIRI WALE WALIOJIUZURU SIO WEZI, NI RIPORI TU YA CAG, ZILE NI TUHUMA TU
2.TANZANIA INAFANYA VIZURI...
Naiunga mkono CCM na serikali zake kushindwa kuongoza nchi na kuvunja Muungano. Nawaunga mkono kwa kushindwa kuwasikiliza Wazanzibar hadi nyumba zetu za ibada zinachomwa. CCM inatisha...
Monday, 28 May 2012 20:35
0digg
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Ezekiel Maige a
Shija Felician, Kahama
BAADA ya kimya cha muda mrefu tangu ang'olewe katika nafasi ya Waziri wa Maliasili...
Kwa wale wanahistoria nadhani mnakumbuka vizuri kwamba CCM imetokana na muungano wa vyama viwili yaani ASP ya Zanzibar na TANU ya Tanganyika.Kwa msingi huo Zanzibar ikijitenga na Bara(Tanganyika)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.