VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Yule wa kusingiziwa popote iwapo changamoto ya wananchi kuhoji hayuko karibu.Yuko mbali mno.Anaendeleza vuguvugu la mabadiliko Mtwara.CHADEMA husemwa kuwa hana nguvu Visiwani.Wenye nguvu ni CCM na CUF.Hao pia ndio wanaounda Serikali.
Zanzibar si shwari tena.Makanisa yanachomwa,watu wanashtakiwa kwa vurugu.Hadi jana,vijana wapatao 30 walipandishwa kizimbani.Wazanzibar hawasikilizwi watakacho.Wameamua kusema kwa vitendo.Wanafanya vurugu.Je,ikiwa CHADEMA hawako huko wala 'hawana nguvu' huko,nani hasa yuko huko na anahusika na vurugu hizo? Na tusemezane...