Wazanzibar wawasili Bara kwa wingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibar wawasili Bara kwa wingi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, May 28, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nina marafiki zangu wa ki Zanzibar wengi sana hata maeneo ninayoishi wako wengi sana. Kuna wengine walienda kwao muda mrefu leo nimewaona wengi kweli wanawasili! Nikajiuliza si hawataki muungano huku wanataka nini tena?.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huki ndo pango la ukimbizi,,,,wale mbuzi kweli wale
   
 3. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaharibu kwao wanakuja kujificha kwa jirani, balaa zaidi ni kwamba hawamtaki hata jirani, tutaona na kusikia mengi na ndipo tutakapozidi kuelewa kwamba ujinga sio mtaji.
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa maeneo ya bandari jio hii niliamua kutoka nikaenda kutazama muda wa saa moja nimeona boti 6 zote zimeshusha watu full.
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Wameharishia kambi wanataka kutuletea shombo huku? Warudi huko huko kwenye taifa lao. Wanadai uhuru huku wanakimbia? Nyam**fu zao!
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Waacheni tu wajaeee weee ili na sisi tutakapo amua kukinukisha tuwafaidi vya kutosha.
   
 7. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Maalim Seif Sharrif alijificha Kariakoo mpaka akapata huu uongozi unautumia kusaidia Ugaidi wa Uamsho
   
 8. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wajitangaze kuwa wakimbizi tuwatengee makambi kule Bwagamoyo!
   
 9. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Viongozi wao wote hukimbilia bara wakibanana
   
 10. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Poa waje tu si ni kwao ila sisi tukiwa kule kosa.
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  subiri jk atoke kutalii marekani atawatafutia eneo pande za mabwepande
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  muungano sio lazima,wazanzibari wanaweza kusafiri kuja huku kwetu bara bila hata ya kuwa na muungano.
   
 13. m

  mzaire JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wee chiziii wacha uongo wako huo au ndio propaganda zenu ili muoneshe kuwa Wazanzibari tunaipenda Tanganyika, kwa hili hujafanikiwa tafuta jengine la kuzua usitupotoshe wenzako.

  Ndo hayoo mara kanisa limechomwa, cjui watanganyika watakiwa wahame Zenji, ilimradi kujitukuza, cheki magazeti ya leo mmeweka mpaka picha za kughushi kwenye Tz Daima khaaa!!!!
   
 14. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  magebwe kweli.wanafata nini sasa?
   
 15. m

  mtalii1 Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wabara msijidanganye na ulimwengu wa sasaiv, mzanzibar ana uwezo wa kuishi maisha bora bila hata kugusa bara, dunia ni ndogo sana zenu ni pumba tu na ndio maana wanajiamini kudai nchi yao, mbona nyinyi hamudai tanganyika yenu? na mumesoma sana?
   
 16. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwani uongo! Mbona hata ITV wameonyesha usiku huu mlivyotaka kulichoma kanisa la tatu lakini juhudi hizo kuzimwa na polisi? Nyie dawa yenu iko jikoni subiri kidogo.
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama wana nchi yao huku wafuata nini?
   
 18. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Waje tu kwani huku hakuna wajinga kama watokako
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Naona sio Wazanzibari wote wanaotaka Muungao kuvunjika ni baadhi yao ambao Wana Mrengo wa kushoto wanaswali kwenye Misikiti yenye kufuata Mambo ya Kisiasa na yanapata Misaada toka Nje ya Nchi.

  Na Unajua baada ya kujitenga hiyo Misaada inapotea wanaachwa wenyewe wanaanza kujuta; Angalia Somalia Walipopata Misaada ya kumuondoa Siad Barre; sasa hivi Somalia hapakaliki nani kafaidika?
   
 20. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Waacheni waje! Tukinukisha huku na sisi naenda kukamata maduka yao kule kariakoo
   
Loading...