Ukweli kuhusu muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The only, May 29, 2012.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  ABOUT MUUNGANO: Muungano umeexpire sababu zake mainly ilikuwa ulinzi ila kwa hekma ya waasisi ukizingatia hali ya kipindi hicho cha kuzungukwa na wakoloni (hofu ya nyerere) na kuhofu mapinduzi kwan alieendesha mapinduzi ni okero na si karume hivo urgency need ya muungano ikahitajika na hawakuweza kuwa na muda wa kukonsult wananchi ambao majority walikuwa ignorant, ila sasa nadhani muda wa kurudi kwa wananchi umefika uandaliwe mjadala nchi nzima ipigwe kura ya maoni,kwa tafiti yangu ya kahawani watanzania bara si wanaupenda au wanauchukia wanauchukuria si jambo la maana likiwepo ni sawa na lisipokuwepo idadi ya wazanzibar wote hawafikii ya wachaga tuu(we have nothing to lose).lakini kwa ndugu zetu ambao si zetu wote ni wa wanyawmezi,waha na watu wa pwani (utumwa) huwezi sema wanyakyusa ni ndugu na wazanzibar zaidi ya wamalawi jirani zao.kwa wazanzibar wengi nloongea nao hawautaki muungano kwa ukwel kuwa hawafanani na wabara kwani wao 95% ni waislamu na wangependa wajiendeshe hivo japo ni kweli wanaamini wabara na omani ni ndugu zao ila wanaweza face challenge zao vizuri bila influence ya non-secular kama sisi.

  I SUBMIT.
   
Loading...