Nukta za Zitto kuhusu vurugu za wana-uamsho Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukta za Zitto kuhusu vurugu za wana-uamsho Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, May 27, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  1 .Vurugu za Zanzibar ni 'unwanted distractions' katika mchakato wa kuandika katiba mpya.

  2. Hakuna namna vitendo hivyo vinaweza kuhalalishwa na kutetewa lakini ni matokeo ya muda mrefu ya 'superficial attempts at dealing against groups with ulterior motives.

  3. Rais Ali Mohamed Shein aunde kikosi kazi maalum kwa ajili ya kudhibiti vurugu hizo, na kuanza mzungumzo na pande zote. Hiki sio kitendo cha kudharau kabisa

  4. Muungano wetu ni sacred na tumetoka mbali kushindwa sasa kuulinda, 'not when we are so close at having an everlasting formula'

  5. Waliochoma nyumba za ibada wasakwe na kufikishwa mbele ya sheria mara moja. Tusiruhusu hata kidogo wapuuzi wachache
  kutuingiza katika vurugu za kidini ili kufikia malengo yao ya kisiasa.

  6. Zanzibar Political leaders and public opinion makers must engage the Zanzibaris into a serious and objective dialogue about the future of Zanzibar within or outside the Union.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naamini Zitto yuko karibu sana Jussa, I hope atamtumia huu ujumbe. Na kwa waliokuwa hawajui nia ya CUF sasa wanaona - kurudisha Zanzibar chini ya himaya wa mwarab.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Muungano wetu ni undefined ila watawala wetu wameziba masikio!
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyu Zito ana matatizo, anaelewa kabisa source ya Vurugu za Zanzibar ni kauli za Swahiba wake wa Karibu na yeye kuwahi kukemea ni kama njia ya kuuonyesha umma kwamba yeye anazichukia hizo vurugu siyo kweli...

  Zitto na Jusa ni marafiki/maswahiba na Jusa anahusikika kwa asilimia fulani kwenye hizo vurugu sasa tunamtenga vp yeye na hizo vurugu?

  Na nini kipo nyuma ya hizo vurugu?
   
 5. a

  abu alfauzaan Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chanzo cha vurugu Zanzibar kinajulikana, ni lile lile dubwana muungano. Hata muwatie ndani wazanzabar wote, mutayastopisha mapambano lkn hamtayaondoa, kwani wameshauliwa weng na wengne kutiwa ndani tokea 64, kwa ajili ya muungano huu ili kuudhbit na kuulinda kwa nguvu zote.

  Alimradi kizazi cha kizanzibar bdo kpo kinaendelea, mizozo hii kamwe haitosita, mpaka wapewe haki yao
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Usipoziba ufa utajenga ukuta. Kero za muungano hazijaanza leo, zimekuwepo siku nyingi na serikali ya ccm imekuwa haichukui hatua madhuti za kushughulikia kero hizo. Yanayofanyika sasa ni matokeo ya watu kukata tamaa na kuona kwamba hawana pa kusemea ili sauti zao zisikilizwe na watawala.
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa CUF unawabebesha zigo lisilowahusu. Wa kulaumiwa hapa ni Nchimbi kama waziri wa mambo ya ndani ambaye wizara yake ni ya muungano, kuruhusu polisi kuanzisha vurugu hizi.

  Hakukuwa na haja ya kukamata watu usiku kama majambazi na kuanza kupiga risasi wakati historia ya Zanzibar inajulikana wazi tangu uchaguzi wa mwaka 1995. Busara ingetumika, badala ya kutumia coercion wangetumia engagement. Huwezi kuulinda muungano kwa mabomu bali kwa majadiliano na maelewano. Yeyote atakeyepoteza maisha anatakiwa kuondoka na Nchimbi kama waziri mwenye dhamana ya polisi.

  Lakini pia Dr Shein na wenzake wanatakiwa kuwa huru kutoa maamuzi yao si kila kitu wafuate CCM inawaambia nini. Hawa Uamsho hawahitaji kuwa contained bali kuwa unleashed. Suala la dini ni very sensitive, ukitumia nguvu kuwadhibiti unawafanya hata wale ambao wasiowafuata hawa uamsho kuaona kuwa nao wanatakiwa kufanya kitu kwani dini yao ya kiislam inasema 'ndugu wa muislam ni muislam'. Hii ni test ya kwanza ambayo CCM wasipoangalia wata-fail vibaya sana kuelekea mchakato wa katiba. Huwezi kuwawekea watu mipaka katika kujadili mustakabali wa maisha yao.
   
 8. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  1. Maamiri jeshi wako wangapi?
  2. Marais wako wangapi
  3. Katiba Ziko Ngapi
  4. Nchi Ziko Ngapi
  5. Wajinga wako wangapi!!

  Young mohamd can u unswer Ma questions ?
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  waarabu wanawachochea ili warudi! Baadhi ya Wazanzibar wanataka utawala wa waarabu!
   
 10. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,740
  Likes Received: 6,016
  Trophy Points: 280
  Kinachotokea Zanzibar ni FULL UDINI. Udini at its highest level. PERIOD. Viongozi (CCM) waliushabikia, wakauendekeza, na hata kuufadhili kwa maslahi mafupi ya kisiasa sasa mambo yameharibika - na bado.

  Tunaisikia Boko Haram ee? Tunaisikia Al-Shabaab ee? Sasa iko mlangoni mguu mmoja ndani. Matokeo ya viongozi kutoshughulikia matatizo kwa wakati kwa hofu ya kuwaudhi akina fulani ndio haya.

  Matokeo ya viongozi kusimama majukwaani tena majukwaa rasmi ya kitaifa kama Bungeni na kuanza kushadadia udini kama turufu ya kisiasa dhidi ya wengine kwa faida ya kulinda maslahi ya chama chetu badala ya kuzungumzia ukweli halisi ndio haya.

  Naomba niwatahadharishe viongozi wa CCM ambao kila kukicha hawaachi kukihusisha CHADEMA na udini usiokuwepo lakini katu hutawasikia wakizungumzia makundi yaliyo dhahiri kwa udini kama hili la uamsho huko Zanzibar! Mnakoipeleka nchi siko! Kikundi hiki na mengineyo kadhaa hasa kupitia mwamvuli wa nyumba za ibada yamelelewa kwa muda mrefu na CCM hususan huko Zanzibar, yamekuwa, na sasa yanajipambanua kwa rangi zao halisi - eti Dola ya KIISLAM YA Zanzibar!

  Kama wengi wasemavyo, nchi hii itaingizwa kwenye machafuko hususan ya kidini na CCM na si vinginevyo - yetu macho.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Muungano una matatizo, hakuna anayebisha. Lakini kama muungano una matatizo, na jumuiya ya uamsho wanatofautiana na polisi kwa nini wachome kanisa? Hakuna namna nyingine ya kutatua issue ya muungano? Na kwa nini kwa mfano wasichome temple ya wahindi kwa mfano? Why kanisa?

  Kwa vyoyote vile, huu uchomaji wa kanisa utabakia kuwa doa kwa hawa wanauamsho. Wameupaka uislam matope. Wanataka kutumia mwavuli wa dini kutimiza azma zao.
   
 12. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  I think you are totally out of order and i am sorry but this is rubbish.

  Jussa knows my stand on Union and on his outbursts. I send the message to the public and Jussa is a non issue here. I dont discuss people, but issues. If Jussa is wrong i tell him publicly and thats me. Dont distract people to discuss issues and start discussing Jussa.

  Who is Jussa? My concern is peace of our country. These people who burn Churches have been handled with kidgloves. We must not only condemn them but show them that it is unacceptable in any civil society.

  rounding this to Jussa persona is totally rubbish
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  napita tu nikichekicheki kinachojiri lakini .......
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Politicians don't get it.
   
 15. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dr Slaa walau alikuwa honest na kuuliza huo mkataba wa muungano uko wapi

  wewe unasema ujadiliwe wakati wananchi hawajui wanajadili nini
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jusa ndo mwehu yule,,,,,,sijui hiyo sheria ameisomea wapi,,,mmbaguuuuuz kweli,halafu wehu wenzie wanamwita MWANAHARAKATI
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mimi sielewi hii lugha-naish mwandigaaaaaa
   
 18. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #18
  May 27, 2012
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Naamini waandishi hawakumwelewa Katibu Mkuu. Mkataba wa Muungano upo. Ni moja ya hati za makabidhiano kwa kila Katibu wa Bunge na Dkt. Slaa amekuwa Mbunge muda mrefu na hawezi kusema walichoandika waandishi. Mkataba wa Muungano ulijadiliwa katika Bunge la Tanganyika na Hansard zipo kila mahala. Mkataba wa Muungano sio jambo la siri hata kidogo na wala haliwezi kuwa jambo la siri.

  Ni kweli wananchi hawaujui muungano. Hii ni kutokana na watawala kutotaka tuujue muungano. Lakini kutoujua hakutun yimi haki ya kuujadili muungano na kuamua hatma yake.
   
 19. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  6.Bendera ziko ngapi?
  7.Nyimbo za taifa ziko ngapi?
  8.Serikali ziko ngapi?
  Jibu pia na hayo tafadhari
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jeshi litahakikisha linalinda aman na usalama wa raia na mali zao kwa nguvu yeyote ile...MSICHEZEE DOLA NYIE WENYEWE HATA MILION 2 HAMFIKI MNATAKA KUTUSHUGHULISHA SIE TUKO BUSY NA MAMBO YA MSINGI,TUWAZALISHIE UMEME,TUWALISHE,TUWALINDE NA BADO MNALETA FYOKOFYOKO HAPA,TUNAWASOMESHA KUPITIA BODI YA MIKOPO,HAMNA PESA YEYOTE,MNAJENGA HUKU,BADO TUU MNAPOTEZA MUDA KWA VURUGU,ALA
   
Loading...