Majibu ya Mhariri wa gazeti la Nipashe kuhusu kuwahujumu waislaam kupitia Redio Imaan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu ya Mhariri wa gazeti la Nipashe kuhusu kuwahujumu waislaam kupitia Redio Imaan

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, May 29, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Jana baada ya kuchakachachua picha kupitia gazeti hilo na kuweka picha ya mapigano ya Mto wa Mbu kati ya waislam na wakiristo. lkn alidai kwamba ni kosa la Komputa. huyu jamaa kama Nigeria hatunae tena
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hii hatari sana
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ameomba radhi ina maana ame-nulify hiyo habari na hiyo picha. Tena ameongelea kwenye redio yenu. Sasa hatari iko wapi hapo.
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Muhariri ni nini??
   
 5. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  .......lakini alichotaka kukifanya ameishakifanya! kama ni mimi nisingeridhika na kuomba radhi peke yake.
   
 6. k

  kidee Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwishowasiku hakuna msamaha kinachofuata munguankijua?
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hii redio naipenda sana hivi nayo mlipewa na mkapa?
  maana vitu vya moro bwana.
   
 8. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wataka asomewe albadiri au atangaziwe jihad?
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  fatwa!!!!!
   
 10. Revolutionist

  Revolutionist Senior Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SIJUI KWANINI WANAPENDA KUTUMIA FAKE PHOTOS..
  [​IMG]

  HATA BBC NAO WALITUMIA FAKE PHOTO...SOMA HAPO CHINI
  [TABLE="class: contentpaneopen, width: 898"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]BBC yalaumiwa kwa kueneza picha bandia za kuipaka matope serikali ya Syria[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen, width: 898"]
  [TR]
  [TD][​IMG]Televisheni ya utawala wa kifalme wa Uingereza BBC imelaumiwa kwa kutumia picha bandia iliyopigwa miaka 9 iliyopita nchini Iraq kwa ajili ya kuendeleza propaganda zake dhidi ya serikali ya Syria.
  Gazeti la Daily Telegraph limeripoti kuwa, BBC imetumia picha ya zamani iliyopigwa mwaka 2003 nchini Iraq na kudai kuwa ni picha za watu waliouliwa na vikosi vya serikali nchini Syria.
  Mpiga picha Marco Di Lauro aliyepiga picha hiyo huko Iraq mwaka 2003 amelalamika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema kama ninavyomnukuu: "Kuna mtu anatumia picha zangu kuendesha propaganda dhidi ya serikali ya Syria na kujaribu kuonesha serikali hiyo inafanya mauaji ya umati."
  Wakati huo huo Bashar Ja'afari, Balozi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa jana alilalamikia kile alichokiita ni "tsunami ya uongo" unaoenezwa na baadhi ya nchi na vyombo vya habari vya kieneo na kimataifa dhidi ya Syria.
  Mapigano kati ya vikosi vya ulinzi vya Syria na makundi yenye silaha yamezuka tena licha ya kusimamishwa tarehe 12 Aprili mwaka huu chini ya mpango wa amani wa Kofi Annan, mpatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro wa Syria

  SOURCE:
  BBC News uses 'Iraq photo to illustrate Syrian massacre' - Telegraph[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 11. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ungetaka umbandue au? what will u do?
   
 12. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mbona kila anayetetea ........ anakula BAN?
   
Loading...