Ni nini tafsiri ya logo ya SMZ?

Ni nini tafsiri ya logo ya SMZ?

Kevin.A

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
12
Reaction score
4
smz-logo.gif

Nini tafsiri ya hii logo ya SMZ?Hilo shoka na panga vinaashiria nini?
 
Ila hizi logo nyingine sijui alikosekana designer wa graphics?
 
Nhci za kiislamu sijuii zina nini na mapanga na majambia:

Hii ya SAUDIA

Saudi%20Arabia%20Symbol.png
 
duh! ama kweli hizo logo zinaendana na imani na mambo tunayoyaon yakitokea maeneo hayo.. duh zana za kuua au kutumia buchani!!!!!
 
Uliza sultani mkoloni wakati wa mapinduzi. Anazijua sana zilifanya nn. Hizo ni zana zetu za kazi.
 
nimejikuta nimedondoka kusiko :flypig:
 
Ccm Jembe na Nyundo aka Mkulima na mfanyakazi,tukija hapo SMZ ni Wakata Magogo na Wakata Kuni ndio kinawawakilisha!
 
Back
Top Bottom