Navua GWANDA,navaa GAMBA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Naiunga mkono CCM na serikali zake kushindwa kuongoza nchi na kuvunja Muungano. Nawaunga mkono kwa kushindwa kuwasikiliza Wazanzibar hadi nyumba zetu za ibada zinachomwa. CCM inatisha. Haisikilizi,haiambiwi...inasonga mbele. Haiwasikilizi vijana wa Zenji. Inasubiri kuongea na wazee Karimjee. Gamba linapendeza kweli...
 
Naiunga mkono CCM na serikali zake kushindwa kuongoza nchi na kuvunja Muungano. Nawaunga mkono kwa kushindwa kuwasikiliza Wazanzibar hadi nyumba zetu za ibada zinachomwa. CCM inatisha. Haisikilizi,haiambiwi...inasonga mbele. Haiwasikilizi vijana wa Zenji. Inasubiri kuongea na wazee Karimjee. Gamba linapendeza kweli...

Hongera!
 
kwa staili hiyo ya kuwaunga mkono kwa ujinga, gamba litakupendeza zaidi kuliko gwanda...
 
Serikali yoyote isiyozingatia utawala wa sheria haya ndiyo matokeo yake.
In decision making huyu mzaramo/Mkwe.re yuko poor sana.
Serikali imeshindwa kutekeleza matarajio ya wananchi chini ya utawala mbovu wa Kikwete.
Huyu bwana ana agenda ya siri na waswalihina. Leo ipo zanzibar, inaweza kuwa ndo signal ya kutaka kuigeuza Tanzania ya kidini.
Kama ndiyo mpango wao washindwe kabisa na watu wote waseme Amen!!!!
 
Mh nilitaka kushangaa sana kwamba inakuwaje mtu makini kama wewe uchukue time yako kuunga mkono wapumbavu(Ccm).
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
mbona title ya thread na msg haviendani au na huo ndio usanii wa kuwasilisha ujumbe?

Yupo sahihi kutokana na maelezo ya habari yake, ametumia fasihi zaidi ambayo ni sahihi pia.
 
Shida kubwa inayoiua CCM ni kuongoza kwa mazoea ikidhani watanzania wana matege ya uongozi na wataendelea kuipa support tu!!! CCM isijidanganye;watz wa leo upeo wao ni mkubwa na wasipo angalia hata nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani wataikosa!!! Ni wakati wao kufanya mabadiliko;ingawa sikio la kufa halisikii dawa!!!
 
Hivi hikundi vidogo vya kidini visipo kemewa na kuvunja nguvu zao mapema ipo siku yatafikia mambo ya Nigeri,Somalia na kwingineko.Serekali inapashwa kuangalia mapema hili swala.Walisema chadema ni chama cha udini ila hata siku moja sijawahi kusikia wamemtukana muumini asiye wa dini yao,Ila hawa wenzetu wasiyo kuwa wadini sijui nini hiki kilicho fanyika Zanzibar.Maana kama ni maandamano yakupinga Muungano kwanini wasichome ofisi na kuwapiga viongozi wa serekali waje kuchoma makanisa na kuharibu mali za kanisa? Je kiongozi wa juu wa serekali zote mbili ni wakristo? Hivi ikifikia kipindi Raisi wa Zanzibar akawa Mkristo itakuwa je? au makamu wa raisi mkristo si wataona ndiyo wanaonewa kabisa?
 
wasonena wanena walipotoka hapaneneki leo mwana mpasua msamba mpaka mkaweza nena ndio mwamnena kwa ubaya?

nena mwana nena walokuzuia kunena si hawa walokufunguwa ukaanza nena!

Kosa si lako unenae kosa ni la alokufunguwa ukaweza nena. Ni nani zaidi ya huyo umnenae kwa kosa la kukunenesha?
 
Back
Top Bottom