Lukuvi: Tanzania inafanya vizuri kuliko hata inchi za dunia ya kwanza, na ......

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
Source. kipindi dakika 45 ITV LEO SA 3.00 USIKU, BY SEMUNYO(MTANGAZAJI)

ANASEMA
1.ANASEMA MAWAZIRI WALE WALIOJIUZURU SIO WEZI, NI RIPORI TU YA CAG, ZILE NI TUHUMA TU
2.TANZANIA INAFANYA VIZURI kiuchumi KULIKO INCHI ZA DUNIA YA KWANZA
3. ANASEMA SERIKALI INABANA MATUMIZI, NDIO MAANA WATU WANASEMA SERIKALI IMEFIRISIKA
4. ANASEMA WANANCHI WAWE HATA WANA GOOGLE TU KUJUA HALI YA HEWA ILI KUEPUKA MAFURIKO

Duuh, mi nimechoka na huyu mzee, huyo ndio mojawapo ya washauri wa jk... kazi tunayo! Binafsi naona tusahau maendeleo kwa aina hii ya vichwa tulivyovipa madaraka, vituonyeshe njia.
 
Upuuzi huu aende akawaambie Jimboni kwake Ismani huko sio kwa watu wenye akili timamu,huyu bwana sijui anaelewa ni i maana hoja zake ni dhaifu sana
 
Ni kweli Tz inafanya vizuri kwa kuwa omba omba na tegemezi kuliko nchi zote duniani. Nadhani anapaswa kuelewa kuwa tunataka Tz isiyo omba omba wala tegemezi. Yawezekana Mh. haelewi matakwa ya Watanzania.
 
Nipo hapa Morogoro, tukawatunaongea habari za matukio yaliyjolia mawaziri kufukuzwa. Mmoja tuliyekuwa naye ni wa kutokea pande za kusini nyanda za juu, alisema kama ifuatavyo: "huyu naye lyapugile kabisa." Nikaona wenzangu wanaojua lugha hiyo wanacheka sana, ikabidi nime nisipitwe, nikawauliza maana yake nini. Wakaniambia ina maana anaongea kama hana akili timamu.
 
mmesahau kuwa alikuwa kwenye kitabu cha orodha ya mafisadi wa Elimu? uwezo wake mdogo kielimu , vinampa shida kuchanganua mambo....
 
sijasikiza au kuona tv ila kama kasema haya basi huyu bwana aheri ya zero wa gazeti la Mtanzania
kuiko huyu
labda anadhani watanzania wa leo ni wadanganyika.
atajuta hapa hapa duniani
 
Hivi kuna waziri aliyejiuzuru?
Mbona lukuvi anapingana na Kauli ya boss wake Mizengo Pinda?
 
Huyu Lukuvi nina wasi wasi sana na kichwa chake kama antena haijaanguka si bure. Anasema TZ imekuwa kiuchumi zaidi ya Dunia ya Kwanza!!!. Is he serious? I didn't expect that kind words from his mouth..Stupid anatuletea Gossip kwenye mambo ya msingi. Majibu mepesi kwenye maswali mazito. Shame on U. Lukuvi ***** sana huyu. LUKUVI: Lumbana Kubembeza Viazi. Tuna safari isiyokuwa na kipimo kwa viongozi wa namna hii.

Natilia shaka hata uwezo wake wa kuvuka barabara.
 
Ndiyo viongozi wetu hao, hata zile basics za mifumo ya mwenendo wa ukuwaji wa uchumi hazijui. Tangu lini nchi za dunia ya kwanza (Developed Counties) uchumi wake ukakua kwa asilimia 5 kwenda. Haipo katika hali ya kawaida sasa yeye anataka Marekani au Japan ziwe na kiwango cha ukuaji wa uchumi sawa na China. Ndiyo maana zikaitwa developed na nyingine developing.

Wakati mwingine wasiende kuzungumza na media wakati hawajui cha kuongea.
 
Ukisoma CV yake utagundua tatizo alikimbia shule mapema, hata upeo mdogo hana.
 
Lukuvi hajui anachozunguza ni bira akae kimya tu...Nchi limeoza kabisa hili eti linafanya vizuri kuliko hata first world? huyu ni waziri kweli na anatumia akili zake sawasawa kufikiri??hovyo kabisa
 
WTF!! Pot is not a good thing it stays in people's brains for so long.He is just another victim.
 
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliposema "unakuta wizara au halmashauri ilipotembelewa na CAG haikuwa na risiti/viambatanisho vya matumizi, lakini ripoti ya CAG ikitoka unakuta tayari wameshapata risiti/viambatanisho...kwahiyo zile tuhuma zinafutwa kwenye ripoti".

Upuuzi mtupu, siamini kama anajua hata anachokizingumza kuhusu Auditing. Kwanini halmashauri/wizara haikuwa na risiti/viambatanisho vya matumizi/manunuzi mpaka ripoti ikitoka na kujua ubadhirifu, then zinaenda kutafutwa.

Asamehewe bure, he's purely STD VII graduate....ila asipewe nafasi ya kuisemea serikali, ni aibu.
 
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliposema "unakuta wizara au halmashauri ilipotembelewa na CAG haikuwa na risiti/viambatanisho vya matumizi, lakini ripoti ya CAG ikitoka unakuta tayari wameshapata risiti/viambatanisho...kwahiyo zile tuhuma zinafutwa kwenye ripoti".

Upuuzi mtupu, siamini kama anajua hata anachokizingumza kuhusu Auditing. Kwanini halmashauri/wizara haikuwa na risiti/viambatanisho vya matumizi/manunuzi mpaka ripoti ikitoka na kujua ubadhirifu, then zinaenda kutafutwa.

Asamehewe bure, he's purely STD VII graduate....ila asipewe nafasi ya kuisemea serikali, ni aibu.
 
Huyu Lukuvi akili yake iko kimafungu mafungu kama umeme wa luku.
akili haijai kibaba kabisa yani.
Kile kibonzo cha ziro na sijui tina hivi kiko wapi siku hizi????
 
Hivi hiki kipindi ni kwa ajili ya viongozi wa serikali tu?maana sioni mtu wa kukosoa haya wanayongea maana smtms wanawalisha watazamaji pumba tupu
 
anachokiongea Lukuvi ndio hasa taswira ya wanaCCM wote nadhani ushaidi mnaweza uona kupitia mawazo ya wale magamba wachache waliopo humu jukwaani.
CCM wote walirogwa na baba yao na bahati mbaya kashatangulia mbele za haki.
 
Lukuvi, acha porojo unataka kutueleza maneno yako ndio sahihi kuliko ripoti ya CAG...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom