Swali kwa wana CCM na CUF jukwaa la Siasa

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Kwanza nikiri mimi ni msomaji wa JF(hasa jukwaa la siasa) wa siku nyingi sana.
Lakini leo nimeamua kujiunga rasmi. BACK TO THE TOPIC -:

Swali langu linaenda kwa wanaJF wote lakini hasahasa ni hawa wafuasi wa CCM
na CUF like Ritz,Rejeo,Mkomatembo,Geneus Brain,Mkigoma,Tume ya Katiba,Zanzi
bar huru and its com. Hivi ni kwanini kila kitu mnakitizama kwa jicho la udini?mfa
no mdogo ni huu wa juzi huko Zanzibar...yaani watu wanalaani kitendo cha kucho
mwa makanisa lakini nyinyi mnatetea kwa mtizamo wa kidini tu. Kule Igunga ilikuw
a hivihivi! kibaya zaidi hata baadhi viongozi wa Chadema mnawakubali kwa dini zao
tu na si vinginevyo. Kama mimi ni muongo hebu jiangalieni mnavyomshabikia Zitto
hapa jamvini....lakini likija swala la Chadema na viongozi wake basi utasikia hicho
chama ni cha kidini,ukabila na ukanda! huku mkiwashabikia viongozi waislam ndani
ya CDM. Je tatizo lenu nini?
Pia nikiri kuwa sijawahi kuona wala kumsoma mfuasi yeyote wa Chadema anaeian
galia CCM au Chadema kwa jicho la kidini!. Lakini nyinyi ndugu zangu wa CCM na
CUF hapa jukwaa la siasa ni tofauti kabisa! kila kitu mnaanza kuangalia kwa jicho
la udini. Je kulikoni? tatizo lenu hasa ni nini? - Nawasilisha
 
Utasikia ohooo Dar inawenyewe na nyinyi ni wakuja tu...ukimbana kwa hoja utasikia Chadema ni chama
cha kidini. yaani nyie ndugu zangu ni full vituko
 
Back
Top Bottom