Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe juzi usiku alikesha na abiria zaidi ya 1,000 waliokwama kwa saa 11 katika stesheni ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara) jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni hapa Sikonge,kata ya Sikonge,kijiji cha Mkolye,kitongoji cha Kitimbasha ambako mtendaji wa kijiji aitwaye Gembe na kwa sasa kapelekwa Pangale alipoamua kuutoa uenyekiti wa kitongoji sadaka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHADEMA walizomewa na kutukanwa walivyotoka kuipinga lasim ya katiba ambayo haikutoa uhuru wa kujadili uwepo wa muungano. NA vurugu zikiachwa hivi Zanzibar tutegemee haya swala la mahakama ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi nimefurahishwa na maelezo mliyoyatoa pale jangwani(CHADEMA SQURE) sasa tunawaomba M4C ifike jimbo la RORYA kwani jimbo hili halina maendeleo yakuridhisha achilia mbali mwl.nyerere...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika mbunge TUNDU LISU NI SHUJAA,HAKIKA CDM HAWAMEZI MANENO KUHUSU MUUNGANO. Wabunge wa Zanzibar CCM NA CUF pamoja na wale wa CCM BARA walikuzomea sana. Najua umekuwa ukirudia serikali tatu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kamanda wetu Mbowe katangaza kuanzia leo uwanja wa jangwani palipofanyika mkutano leo pataitwa Chadema square. Sehemu ya umati uliohudhuria
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, jana kwenye kongamano la Vijana wa YUNA Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama; ambako pia William Malecela alikuwa mmoja wa wageni...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Kiukweli inatia hasira ya masikitiko sana.....ukiangalia magazeti ya leo mengi utaona picha baadhi ambazo sizo za matukio ya majuzi zanzibar.....ni picha nyingine kabisa ila wamejivika ujinga na...
4 Reactions
112 Replies
12K Views
kwa wale tuliokuwa jangwani juzi ule wimbo wa vua gamba vaa gwanda nitaupataje.kwa anayejua anielekeze mahali pa kuupata huo wimbo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikitinga mitaa ya Mtanda, Jamhuri, Mitwelo, Kariakoo, Mikumbi, Mpilipili, Sabasaba; Manispaa ya Lindi imepambwa na bendera za CCM kukiwa na uchache wa bendera za Chadema. Wananchi wa Lindi...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Baada ya Mnyika kushinda kesi mmoja ya mashabiki wa GWANDA alibeba bango limeandikwa KUNFA YAKUNA na chini kwa kiarabu inamaana CDM tayari washaingia kwa waislam na kuwachota au? Kama kweli bas...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Leo viongozi wa chadema wameonesha ukomavu mkubwa kwa kutozungumza chochote kuhusu Shibuda licha ya wananchiu kushinikiza kiaina hasa pale alipoinuka Heche na kamanda Mbowe. Kwa kweli sehemu...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau ni muda mrefu sana serikali yetu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imekuwa ikihubiri juu ya kufanya siasa katika vyuoni vyetu vikuu hasa vile vya serikali.Na hata raisi wa nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
THEUNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATEOF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425...
0 Reactions
154 Replies
13K Views
Katika mfulurizo wa ghasia zinazotokea Zanzibar na kusababisha uharibifu wa mali nimoja ya tatizo linaloitia doa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla hasa ukiangalia kwamakini unakuja kugundua siyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya mapigano yanayoendelea nchini ni hatari kwa vizazi vijavyo,viongozi husika hawaoni wafugaji na wakulima huko pwani walivyo na mvurugano?wafugaji wamekuwa wakimbizi nchini mwao na hivi sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
onday, May 28, 2012 Picha Za Waheshimiwa Zitto Kabwe,Peter Msigwa,Joshua Nassari,Leticia Nyerere,Maryam Msabaha Walivyofunika Kwenye Uzinduzi Rasmi Wa Tawi La CHADEMA Washington DC Mhe. Peter...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Nafikiri tusiendelee kutumia pesa na muda mwingi kutafuta Vazi la Taifa wakati kuna vazi ambalo naliona lipo tofauti sana na vazi lolote ktk nchi za Kiafrica ambalo ni Gwanda. Linafaa sana...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Hii ni mara nyingine tena nikihusisha vurugu za Zanzibar na uwepo wa utawala wa CCM .Napendelea sana kusema ktk purukushani za Zanzibar mkono wa CCM upo au haukosi, kwani uwepo wa Muungano ni uhai...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wana jf, mi nilikia kwamba mikutano yote ya mikoani yatarushwa live ITV, Ila mpaka sasa sioni chochote...au nisikia vibaya? Nawasilisha..
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Back
Top Bottom