Muungano ni wanini kwa Tanganyika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano ni wanini kwa Tanganyika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kalaghesye, May 28, 2012.

 1. kalaghesye

  kalaghesye Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana-jf nimerudi juzi kutoka Unguja na Pemba. Nimeshuhudia vurugu za wanaojiita wana Uamsho - wengine walibeba vitambaa vyeupe vina damu! Jamaa wanaimba maneno machafu sana kuhusu sisi tunaotoka Bara ... tunaitwa wezi, makafir, malaya, walevi .... nk. Wanataka Wa-bara waachie Zanzibar yao ... ati watawachomea mafir wote makanisani! Na ni kweli wakachoma kanisa ... na hii si mara ya kwanza!

  Nikiwa nimesimama kando ya barabara nikafikiri je, huu Muungano unatusaidia nini? Je, tukiamua wa-unguja na wa-pemba watuachie Tanganyika yetu hali itakuwaje? Naomba msaada wa mawazo kuhusu hili.
   
 2. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,378
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  hivi hawa wapemba walioko huku walikrudi kwao watatosha? kwanini unaleta nyodo? siku tukiamua hatitarudi nyuma
   
 3. kalaghesye

  kalaghesye Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hawa jamaa wana matusi kweli ukiwa Zanzibar! Mimi naona wakati umefika tuseme basi .... warudi kwao na sisi turudi kwao.
   
 4. M

  Masabaja Senior Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kuona faida ya muungano labda kama mimi ni mjinga kuelewa lakini nimekaa nimetafakari sioni bora waende zao
   
 5. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,154
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Wapemba wamemiliki majumba na biashara kubwa huku bara, lakini kwa wewe unayetoka bara huwezi kamwe kumiliki ardhi ndani ya pemba. Ukinunua ardhi tu, kesho yake jamii inakunyang'anya na kukurudishia pesa zako, na yule aliyekuuzia anashughulikiwa. Wao wanaamini wabara wote ni makafiri hata uwe wa imani gani. Mtu wa bara huruhusiwi kumiliki ardhi jambo linaloashiria kwamba undugu tulionao ni feki.
   
 6. U

  Ubongo Silaha Senior Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Viongozi wa 1964 walifanikiwa kushawishi kizazi chao kuamini kwenye Muungano. Viongozi wa leo wanawajibika kushawishi kizazi cha leo kuuenzi
  Wale wa 1964 walikuwa na sababu zao za kutaka Muungano na inavyoonyesha wenzetu wa Zanzibar hawazioni kuwa na maana kwa muda huu
  Viongozi wanapaswa kutuaminisha kuwa muungano una faida kwa wananchi wa kawaida wa pande zote mbili
  Bahati mbaya kwa namna mambo yalivyo, faida kwa kizazi hiki hazionekani
   
 7. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Mmmmhhh
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  la kusema kweli machogo mmezidi ,yaani mnachunga ng'ombe baharini ,kama si kuwaletea na kuwafanyia fujo WaZanzibari ni kitu gani,embu ona hii:-
  IMG_3680.JPG
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,424
  Likes Received: 19,748
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli basi wabara achieni visiwa vya watu ..ha ah aaa
  [​IMG]
   
Loading...