Kwa hili lazima CCM iutetee muungano kwa nguvu zote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili lazima CCM iutetee muungano kwa nguvu zote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGOWILE, May 28, 2012.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanahistoria nadhani mnakumbuka vizuri kwamba CCM imetokana na muungano wa vyama viwili yaani ASP ya Zanzibar na TANU ya Tanganyika.Kwa msingi huo Zanzibar ikijitenga na Bara(Tanganyika) moja kwa moja ASP itakuwa imejiondoa rasmi ndani ya CCM na hivyo kubakiwa na TANU upande wa Bara.Kwa sababu TANU haina usajili kwa msajili wa vyama siasa nchini itakuwa imekosa uhalali wa kikatiba kuendelea kuwa madarakani kwani ni lazima chama cha siasa kisajiliwe.Baada ya hayo kutokea,ni lazima CCM ianze upya Taratibu za kujisajili kama chama cha siasa. Naomba kuwasilisha.
   
 2. B

  Bubona JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama ni kweli kwamba CCM itatakiwa kujisajili upya Zanzibar wakijitenga. Baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza kufanya kazi mwaka 1992, CCM walikuwa wa kwanza kwenda kujisajili- ndiyo maana wakaanza kujiita "CCM nambari wani"!!!
  Nafikiri kuna sababu zingine tofauti na hii zinazowafanya waogope kuvunjika kwa Muungano!!!
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ccm haijawah sajiliwa tangu vyama vingi vianze
   
 4. b

  bdo JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  suala la Muungano (Tanganyika na Zanzibar) is a crazying animal on this Land, maana hadi sasa najiuliza, issue hapa ni Uzanzibar na Ubara? au ni kero za Muungano? au ni watu wanataka tu nao wajulikane wana nchi yao Zanzibar?

  my take: Tanzania (bara) will remain to be called Tanzania, maana Tanganyika huru imekuwepo kwa miaka 2 tu, na wengi wetu tumezaliwa humo, and Zanzibar watajua wenyewe wataitwaje!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kwa tz hlo haliwezekani,mafisadi wana nguvu,zanzibar wanataka kujitenga kwa ulevi wa madaraka tu(by mwl jk nyerere)
   
Loading...