Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, May 28, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Makanisa zaidi na mali za wakristo zazidi kuteketezwa leo yamechomwa matatu.
  Source chanel10 habari

  Huku ni kushindwa kwa selikali ya muungano kwani swala la ulinzi na usalama ni la muungano.

  Sasa makanisa Zanzibar yalindwe kama ikulu

  huu ni mwanzo wa harakati za waislamu tanzania unaokusudia kutuletea selikali za kidini na wanaamini viongozi wakuu Raisi muungano, Makamu raisi visiwani makamu wote mawaziri wa ulinzi na mambo ya ndani

  tutegemee haya swala la mahakama ya kadhi
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Tunaamini hali itakuwa shwari sasa, ingawa kilichofanyika ni uhuni mkubwa. Sina hakika kama kuna faida yoyote ya huu muungano, kama wanataka uvunjwe nadhani ni bora iwe hivyo. Lakini njia wanazotumia kudai kuvunjwa huo muungano siyo stahili, wanaharibu mali na kufanya uhuni wa ajabu sana. Baada ya kuona ile habari ktk gazeti iliyosema "HATUNA IMANI NA BARAZA NA MITIHANI" na kusema WAISLAMU WANAFELISHWA KWA MAKUSUDI nilishajua hawa jamaa sasa wanaanza chokochoko za kutaka kuanza kufanya vurugu. Ni uhuni sana!
   
 3. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hawa ndo wanaotaka tuwe na hizo mahakama za kadhi? Tutawaliwe na sheria za chuki na kishetani kama hivi?
   
 4. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hiyo implied way ya kutoa maoni kwenye katuba mpya
   
 5. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Vurugu za zanzibar sasa zinabainisha sio za kisiasa wala kupinga muungano bali ni mkakati dhahiri wa mashambulizi ulioandaliwa kwa mpango maalum wa kificho dhidi ya Ukristo,wakristo,mali zao na nyumba zao za ibada hakuna sababu yoyote ya msingi inayoweza kutengua ukweli huu maana hatuoni uhusiano wowote wa kanisa na muungano au siasa za zanzibar! Islam is a very hostile religion and i wonder if it deserves any credibility!
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Sipati picha ingekuwa ni misikiti inachomwa..kikwete angeongea mpaka povu!
   
 7. s

  silent lion JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Bullshit all of it. Makanisa yanachomwa na infiltrators wanaodaiwa kuwa ni wa CCM ili kudivert attention ya watu ili jambo hili liwe la kidini na ishu ya msingi ya zanzibar Huru isijadiliwe
   
 8. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Hili liserikali legelege litatuletea matatizo makubwa. Ni afadhali jeshi lichukue nchi wahamie hapo zanzibar wiki mbili wakaweke akili za hawa wajamaa sawa na watembeze kipigo kwa hawa watu wakorofi, labda waya zimekatika kwenye ubongo wao.
   
 9. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Let em go, this is a secret agenda, tukishindwa kujilinda Obama atatusaidia ingawa hatuombei hayo yafikie huko ila kinachotokea Znz ni vita dhidi ya Ukristo. there can never b any link btn Christianity na muungano coz hata huku bara waislam mbona wapo? Mwinyi alileta OIC akashindwa, Jk akataka kuirudisha nae akachemka, so jamaa wameamua kuingia front.
   
 10. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  muungano na makanisa ni vitu viwili visivyo na uhusiano hata kidogo, hili sasa ni vuguvugu la kishetana la kutaka kulimaliza kanisa, ila hawataweza kwani MUNGU yupo upande wetu. Baba rizi amestarehe ikulu ila kama ingekuwa ni misikiti ndo inachomwa nadhani angekuwa ameshatoa tamko. MUNGU tuepushe na huyu ibirisi anayetaka kuchafua nchi yetu. MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 11. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sasa hao watu wanajiita wacha Mungu kweli?? kama wanadai muungano uvunjwe, je makanisa yamewakosea nini?? ni uhuni tu hawa watu, halafu wanajifanya wanapiga swala nje ya mahakama, kama sio uzushi tu, ni nini ile?? Watakuja jimaliza wote hao, huku bara hawajui wako wangapi, nasisi tukiamua kuwafukuza itakuweje?? maaana waazilishi wa haya mambo wananyumba kule TEMEKE pia.
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kwa hali hii ya udini inayoendelea zanzibar basi tumeshapata maana halisi ya dini ya kiislamu kiundani.
  Tanx sana waislamu kwa kututendea haya mnayotutendea wakristo ila jueni kwamba.
  "HAKUNA ALOWAHI KUTENDA UBAYA JUU ISRAEL NA AKAISHI"
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  Hawa wala urojo mi siwalewi kabisa.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,433
  Trophy Points: 280
  watakuambia kuwa ccm ndio wametuma mamluki wao wachome kanisa ..ili iweje? hawana jibu
   
 15. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  usihofu, kamwe tanzania bara hitakuja serikali ya kidini ...ni zanzibar tu hilo linawezekana...
   
 16. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Abadilishwe kamishna wa polisi zanzibar na polisi lote lifumuliwe kwani wote uamsho hao
   
 17. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wakowapi wanaharakati wa dini ya Kiislam wako wapi masheikh isa ponda na wenzake? kukemea hali hii hii ni zaidi ya Kuidai Zanzibar yao je baada ya kuipata Hiyo Zanzibar yao wanayoitaka wataishi waislam peke yao? huu ni uhuni usiokubalika abadani
   
 18. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wavuta bangi wa Zanzibar wameamua kuipaka matope dini ya kiislamu.
   
 19. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  naamini kama makanisa yanachomwa siku baada ya siku-hao arsonists na extremists hakuna anayewashika-naamini viongozi wa makanisa wapo na wanaona na kusikia kila kitu-naomba waandae reprisal nzur then tuone ni nini kitafwata
   
 20. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mambo yakishatulia baba rizi atakutana na wazee wa dar kutoa tamko...
   
Loading...