Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

akijibu swali la papo kwa papo siku ya alhamisi bungeni waziri mkuu mizengo kayanza pinda alisema znb ni nchi ina watu milioni 1 na tanzania bara ina watu zaidi ya milioni 42 kwa hiyo hata siku...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Pamoja na ukweli kuwa Wazanzibar wana matatizo ya msingi ambayo yameshindwa kupatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu, na kwamba baadhi ya matatizo hayo yanatokana na muungano, kuna uwezekano mkubwa wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tathmini ya kisayansi ya mkutano wa cdm jangwani ni kama ifuatavyo : Imedhihirika kweli DAR KUNA WENYEWE na si kama Arusha, kwani kwa idadi ya watu , Dar ina watu wengi kuliko Arusha , ila Arusha...
3 Reactions
184 Replies
14K Views
Wakuu wakati tukishuhudia ukiukwaji wa demokrasia ndani ya Chadema kwa kile kinachoitwa wazee wa chama wakiongozwa na Baba Mkwe wa Mbowe kumshinikiza Mh. Zitto kujitoa au la wamtoe kwa lazima...
0 Reactions
144 Replies
20K Views
Written by Ashakh (Kiongozi) // 30/05/2012 // Habari // No comments Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Shaweji Mketo, akihutubia mkutano wa hadhara. Imeandikwa na Kaaneli Kaale; Tarehe: 28th...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shein alipitishwa kugombea si kwa uwezo wake bali upole na ukasuku. Pia ni mpango mkakati wa kumzima mpinga muungano Bilali aliyekuwa na nafasi kubwa ya kuwa raisi. Mafanikio kwa UKRISTO...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasili na ujumbe wake kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba, kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi mkoani Kagera ambako pamoja na shughuli nyingine...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
​Rais Benjamin Mkapa kuanzisha shule za secondary za kata huku kukiwa hakuna mipango madhubuti katika sekta za Ajira, mitaji na uwekezaji ili kukabiliana na wimbi la wanafunzi watakaohitimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nmesikia viongozi ndani ya ccm wakijibu hoja za zitto kuwa ni za kichochezi na zinaweza kuleta machafuko na umwagaji damu,siingii kwenye hoja za Nasari kwa sababu mwenyekiti wa chama alishalitolea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Makamanda, tunaomba ratiba rasmi na inayoeleweka ya M4C ya makamanda huku kusini kwani hatujajua kuwa leo, kesho na keshokutwa makamanda watakuwa kwenye wilaya/jimbo gani kwa hapa Mtwara na hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MBUNGE wa Jimbo la Msalala na Waziri wa zamani wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, amedai kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kitakufa kutokana na tabia ya viongozi wake kuendesha chama...
1 Reactions
104 Replies
9K Views
• AFICHUA KISA CHA KUACHWA MA-DC na Mwandishi wetu RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa Watanzania wengi wamekosa imani na serikali yake kwa kile alichodai kuwa kimechangiwa na utendaji...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nchi mbili zinapoungana na kuwa nchi moja mifumo ya kawaida ya katiba ni miwili; Muungano wa serikali moja, au shirikisho la serikali tatu. Kwa mfumo wa kwanza kila nchi itafuta serikali yake,na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, 29 May 2012 21:16 Geofrey Nyang'oro, Mtwara CHAMA cha Chadema kimekoleza uhasama baina yake na CUF baada ya kutangaza kuwa moja ya dhamira ya kuendesha operesheni vua gamba vaa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo kimetokea kujizolea umaarufu na kujiimarisha kwa kujizolea wanachama wengi na kuongeza idadi ya wabunge mjengoni kuanzia...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
wadau bado naikumbuka kauli ya kamanda, mwanasheria wa mnyika pale chadema square kama `chadema imetawala kila idara. Nikifatilia timu iliyopo mtwara na marekani ukweli vile karibia kunakucha au...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
DHANA ya kuwa mikoa ya kusini ni ngome ya Chama cha Mapinduzi jana ilifutika vichwani mwa wakazi wa mikoa hiyo, baada ya umati mkubwa kujitokeza, kuulaki msafara wa viongozi na hatimaye kuhudhuria...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba Jeshi la Polisi hapa nchini limetajwa kuwa taasisi ya serikali inayoongoza kwa kupokea rushwa huku Tanzania ikishika nafasi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wa jamvi,habari!Natumai wote hamjambo.Nimekuwa na maswali mengi kichwani kuhusu Zanzibar na muungano kwa ujumla.Kwa wale wenye kumbukumbu chokochoko za muungano zinazidi kuongezeka kila...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Aliyekuwa diwani wa sinza salum mwakinginda pamoja na aliyekuwa mbunge wa ilala idd simba wamefikishwa mahakama ya kisutu hivi sasa kwa makosa ya ufisadi wa uda.
3 Reactions
122 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…