Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za ziara ya Nape kuimarisha chama Bukoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, May 29, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,245
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasili na ujumbe wake kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba, kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi mkoani Kagera ambako pamoja na shughuli nyingine alifungua Baraza la Vijana wa CCM, Wilaya ya Missenyi mkoani humo.

  [​IMG]

  Nape na viongozi waliompokea wakipita katika paredi la Vijana wa CCM

  [​IMG]

  Nape akikata utepe kuingia kwenye uwanja wa Mashujaa, kuzindua Baraza hilo.

  [​IMG]

  Vijana wa baraza la Misenyi wakimsikiliza Nape

  [​IMG]

  Nape akiagana na vijana hao.

  [​IMG]

  Kisha Nape akicheza gofu kwenye viwanja vya mchezo huo vya Dioniz Malizni (kulia) nje kidogo ya mji wa Bukoba wakati wa ziara yake ya kuimarisha chama.

  [​IMG]

  Nape na ziara yake Bukoba ya kuimarisha chama.

  [​IMG]

  Nape akirudi Dar baada ya ziara yake ya kuimarisha chama Bukoba
   
 2. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 871
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hongera nape nimependa mbinu zako Mwaka 2015 gombea Uraisi utapata tu.

  Sisiemu wanakuonea wivu kwanini hamkukodi magari mlete watu kwenye mkutano

  Ilo shada la maua nimelipenda lafanana na lililokuwa kwenye mazish ya kanumba
   
 3. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,676
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  we mchukua picha kwani hakuagana na watu wengine zaidi ya hao mabinti?
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,147
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Duhh! umati wa kutisha.
   
 5. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijani siku hizi zinavaliwa kwa kificho,naamini baada tu ya kikao vijana hao walibadili nguo fasta kukwepa kuchekwa mitaani
   
 6. E

  ESAM JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hao vijana au ... mbona wazee?
   
 7. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vijana ama na wazee? Coz wengi wanaonekana aged
   
 8. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,809
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nimeona jeshi la GREEN GUARD likipiga saluti.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,121
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Hii ndege iko sawasawa kweli?

  [​IMG]
   
 10. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,021
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Yaani mkutano huu umehudhuriwa na watu wachache hivi!!!!!!!!

  Hivi huu uwanja pia nao unaitwa CCM SQUIRE???

  AMA KWELI CCM imekwisha,
  pamoja na kbeba watu kwenye malori na kuwagawia ubwabwa bado watu wamegoma kushiriki!!!!!!!!


  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 11. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,403
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  CCM na wananchama
  CHADEMA na wananchi wa Tanzania
  Kaaazi kweli kweli!
   
 13. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  inataka moyo wa kiuendawazimu kuishabikia CCM siku hizi!
   
 14. Y

  Yetuwote Senior Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walio mpokea, ndio waliopiga gwaride, ndio walio hudhuria kikao na wale wale ndio waliocheza nae gofu na kumuaga pia.
   
 15. Babuu Rogger

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 664
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Mi nimeipenda hii, dah! jamaa anapigiwa saluti!!!!!!!!!!! ama kweli ubosi nouma.
   
 16. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  hizi ndio nimezipenda zaidi na ndizo zinaweza kuelezea vizuri kilichompeleka huko!
  Hongera mzee Malinzi, nadhani hiyo golf course itakuwa ni ya kwanza kwa Kanda ya Ziwa

   
 17. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 7,730
  Likes Received: 2,624
  Trophy Points: 280
  NAshauri wafungwa waanze kuvaa nguo za kijani na njano ili magereza yazoee occupants wake wa kuanzia 2016 na kuendelea
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  hii nchi imefika pabaya! Nape anaenda na ndege ya kukodi!?
   
 19. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,474
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Niulize swali nisiulize?.. Watu ULIZAAAA
  JE ANGANI KUNAKAMATA MTANDAO GANIII!!!
  Jibu........
   
 20. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,822
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  dah! kweli nape anakubalika kuliko hata CCM yenyewe, cheki umati ulivyosheheni maelfu ya wanachama na wapenzi wa CCM!
   
Loading...