Zanzibar wanahitaji nini hasa?

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
Wakuu wa jamvi,habari!Natumai wote hamjambo.Nimekuwa na maswali mengi kichwani kuhusu Zanzibar na muungano kwa ujumla.Kwa wale wenye kumbukumbu chokochoko za muungano zinazidi kuongezeka kila mwaka na kila awamu ya urais inapoingia,ni wazi kwamba yapo mambo ya msingi ambayo Wazanzibari wanahitaji.Inawezekana serikali zote 2 zinayapuuza na kuyaona ni ya "kitoto" lakini kwa ulimwengu tulionao kiongozi hapaswi kuziba masikio.Kwa maoni yangu,siyo kuanza kuuunda tume za kiintelijensia,kiongozi mwenyewe,toka ofisini,kaulize kunani huko.Chonde MwanaJF kama unafahamu hata kiduchu kwamba wazanzibar wanataka nini hasa,tujuze tupate kujua.Mungu tusamehe Tanzania,tumeanza kuchoma hata madhabahu yako.Tusamehe na utupe roho wa kutuongoza tuishi kwa amani.Aaamen.
 
Ni kweli kuna kero za Muungano zinazofahamika na ilidhaniwa kuwa kupatikana kwa Serekali ya Umoja wa Kitaifa Kungekuwa Mwanzo wa kuanza kuzishughulikia Rasmi, kwani kabla ya mwafaka huo Viongozi wakisiasa na wafuasi wao Walikuwa hawaaminiani na kulikuwa na uadui wa wazi kati yao.
Kilichozuka sasa ni Wimbi la Tamaa likiongozwa na Wazanzibari wenye Asili ya Kiarabu kua Wana visima 72 vya Mafuta ya Petroli yaani Utajiri mkubwa Mno Utakaomkomboa kila Mzanzibari lakini Uko HATARINI kuporwa na Watanganyika. Hivyo UAMSHO wanawataarisha Wananchi wenzao kwa mapambano hivyo wawe tayari kufa kupigania Mafuta yao. Kwa hiyo mkuu kinachohitajika na Wazanzibariiii ni UTAJIRI WA MAFUTA. na kiongozi wao amewahakikishi VISIMA 72. Watapeta au vipi?
 
Ngoma kati ya Nyerere na Watanzania dhidi ya Sultani na Uamsho, nani atakichukua kisiwa cha Zanzibar?
 
mafuta kitu gani bana?
wapige nyama chini wamezoea maisha ya kutofanya kazi.
na haohao waarabu watatolewa baruti chezea ubaguzi wewe?
 
Wanahitaji kibano cha haja ndio watatulia anaekataaa akatae kwa ubishi wake tu
 
Kukalia kinguvu tu ndio dawa, au kama tumsaliti Nyerere basi Sultani arudishiwe kisiwa chake na watumwa wake
 
" Zanzibar ikijitenga tena kwa ulevi wa madaraka hakika hawatakaa salama"-Mwl JK Nyerere
 
Ni kweli kuna kero za Muungano zinazofahamika na ilidhaniwa kuwa kupatikana kwa Serekali ya Umoja wa Kitaifa Kungekuwa Mwanzo wa kuanza kuzishughulikia Rasmi, kwani kabla ya mwafaka huo Viongozi wakisiasa na wafuasi wao Walikuwa hawaaminiani na kulikuwa na uadui wa wazi kati yao.
Kilichozuka sasa ni Wimbi la Tamaa likiongozwa na Wazanzibari wenye Asili ya Kiarabu kua Wana visima 72 vya Mafuta ya Petroli yaani Utajiri mkubwa Mno Utakaomkomboa kila Mzanzibari lakini Uko HATARINI kuporwa na Watanganyika. Hivyo UAMSHO wanawataarisha Wananchi wenzao kwa mapambano hivyo wawe tayari kufa kupigania Mafuta yao. Kwa hiyo mkuu kinachohitajika na Wazanzibariiii ni UTAJIRI WA MAFUTA. na kiongozi wao amewahakikishi VISIMA 72. Watapeta au vipi?
Acha unafiki huo,hakuna wenye asili ya kiarabu wala kichina hapa zanzibar,wanao dai nchi huru ni wazanzibari wenye asili zote,alimuradi ni mzanzibari. mnafiki mkubwa.
 
mkuu kama kuna kitu unakifahamu si ufunguke ili watu tuweze kujua?? Kuliko kubweta,kulalama na kutokwa na povu kwenye coment za watu??

Hembu tumegee ukweli halisi basi
 
Tatizo sio Muungano, hawa jamaa wana matatizo makuu matatu ambayo ni
  1. Vijiwe vya kucheza Bao
  2. Vijiwe vya ghahawa
  3. Madrasat University
Zanzibere wakifanikiwa kuondoa huo ***** No 1&2 na kuifanyia kazi hiyo No3, then angalau akili zao zinaweza anza fikiria kurudi...!

Can I get Takbiiiiiiiiiiiiiirrrrr...!!!
 
mkuu kama kuna kitu unakifahamu si ufunguke ili watu tuweze kujua?? Kuliko kubweta,kulalama na kutokwa na povu kwenye coment za watu??

Hembu tumegee ukweli halisi basi
Ukweli wananchi wameshaonesha hisia zao za vitendo kuwa muungano hawaitaki,muungano tulio nao ni wa Tanu na ASP= CCM.

Huo ndio ukweli,viongozi ndio wenye muungano,lakini wananchi ndani ya nyoyo zao hawana muungano,sio zanzibar hata huko tanganyika.
 
Wazanzibar wanatakiwa kusaidiwa kiushauri na si kisiasa, wakumbuke mapinduzi ya kuwakomboa wao yalifanywa na nani haswa, pia wasifikirie mafuta ndio mkombozi ona nigeria inavyotaabika, ona nchi za kiarabu zinavyosalitiana , jamani kuna mambo mengi ya kujadili lakini hapa si mahala pake....Udumu Muungano!
 
Acha unafiki huo,hakuna wenye asili ya kiarabu wala kichina hapa zanzibar,wanao dai nchi huru ni wazanzibari wenye asili zote,alimuradi ni mzanzibari. mnafiki mkubwa.

Wapo mkuu acha unafiki! Jumbe alipotaka kuvunja Muungano 1984 hakwenda pengine zaidi ya Uarabuni!
 
Ukweli wananchi wameshaonesha hisia zao za vitendo kuwa muungano hawaitaki,muungano tulio nao ni wa Tanu na ASP= CCM.

Huo ndio ukweli,viongozi ndio wenye muungano,lakini wananchi ndani ya nyoyo zao hawana muungano,sio zanzibar hata huko tanganyika.

Hisia zinazoonekana si za kuuchukia Muungano bali mabaa na Makanisa! Hatujaona Ofisi za CCM zikichomwa moto wala Misikiti ya Watanganyika waishio Zanzibar kuchomwa moto! Tatizo hapa SI MUUNGANO mpendwa, tumia akili kidogo ulizo nazo!
 
hawataki muungano nukta! serikali ikiendelea kufumbia macho kwa kuenzi fikra za nyerere... yatatokea makubwa zaidi ya yaliotokea wiki iliyopita ....

muungano unajadilika sijui tatizo nini..?
 
Back
Top Bottom