CHADEMA kama Barcelona bana....

CHADEMA kama Barcelona bana....

mandemba

Senior Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
103
Reaction score
19
wadau bado naikumbuka kauli ya kamanda, mwanasheria wa mnyika pale chadema square kama `chadema imetawala kila idara. Nikifatilia timu iliyopo mtwara na marekani ukweli vile karibia kunakucha au mnaonaje.........
 
Yeah...its true bro..CDM ni kama Barcelona, Vyenga na manjonjo kibao, at the end wanakuwa defeted na watu wenye focus!!
 
Hakika! Chenga twawalaaa, lakini vp kuhusu ubingwa......Mbona mmewaachia Madrid?
 
Yeah...its true bro..CDM ni kama Barcelona, Vyenga na manjonjo kibao, at the end wanakuwa defeted na watu wenye focus!!
Uamaanisha MERU kama Mwigulu au??
 
yeah...its true bro..cdm ni kama barcelona, vyenga na manjonjo kibao, at the end wanakuwa defeted na watu wenye focus!!

mkuuu nawe jipange kuchoma makanisa!
 
Yeah...its true bro..CDM ni kama Barcelona, Vyenga na manjonjo kibao, at the end wanakuwa defeted na watu wenye focus!!
Mkuu Rejao, kama sio wizi wa kura wa CCM nchi hii ingekuwa mikononi mwa CHADEMA siku nyingi!
 
hili jambo la kuchoma nyumba za ibada limenikera sana aisee, kwani na nyumba za ibada zipo kwenye kero za muungano?
 
Sasa hivi Real Madrid ndio ipo juu kule Spain, Barcelona sio kivile tena
 
Mtaendelea kuwa na mawazo hayo. Sisi tunazidi kusonga mbele
kwenda zako kule jehanamu ewe ibilisi mkuu. ewe mola majitu kama haya yanayonyonya watanzania hata wale maskini ni kuwapiga kwa upofu na ukiziwi kwa wakatimmoja.
 
wadau bado naikumbuka kauli ya kamanda, mwanasheria wa mnyika pale chadema square kama `chadema imetawala kila idara. Nikifatilia timu iliyopo mtwara na marekani ukweli vile karibia kunakucha au mnaonaje.........

kweli kabisaaaa! Yan ni zaidi ya barcelona!
 
kwenda zako kule jehanamu ewe ibilisi mkuu. ewe mola majitu kama haya yanayonyonya watanzania hata wale maskini ni kuwapiga kwa upofu na ukiziwi kwa wakatimmoja.
Mungu hapendi masikini, anampenda mtu anayejishughulisha na kutumia opportuinities zilizopo. Pia Mungu huwa hapendi umwombee mwenzako mabaya, angalia hiyo hali isije ikakurudia mwenyewe!
 
nyinyi mnatumia opportunity ipi hiyo zaidi ya kuwafisadi wananchi.Mungu anachukia mafisadi mno zaidi ya maskini asiyependa kujishughulisha..........gamba mkubwa
 
Mawazo mgando hayo..
Kama huna la kuongea u better keep your big mouth shut!
 
Back
Top Bottom