Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Rais aliwahi walaumu CDM kuwa wanamkipu busy kwa kuibua mabomba ili awe busy yajibu, na akajisifu kuwa meshtukia na hatokuwa akijibu.Ila kwa jinsi matukio yamekuwa mengi,kuanzia richmond,EPA, uchaguzi wa Igunga, kubadili mawaziri, wakuu wa wilaya, wa mikoa , majaji, mabalozi kila mara, uchaguzi wa arumeru,migomo ,katiba, kuvunjika kwa ngome kuu ya ubalozi wa nyumba 10 na wakuu wa wilaya(wanajeshi na makada kupungua )etc ,kujivua gamba ni wazi kuwa kwa miaka 2 hakuna kikubwa kilichofanyika na hata ile dhan ya kipindi cha pili cha rais kumalizia aliyoyaanza haina maana.Kwani sasa hivi ni hasara tuu na matumizi ya kuanza upya na wateuzi wapya pamoja na wizi mpya.
Sasa tishio la CDM na kugawanyika kwa CCM kupo wazi CCM km chama na wabunge wake km watu binafsi wanaweweseka kukomboa nchi na majimbo yao binafsi.wabunge wana mwendo mrefu wa kupambana ndani yachama na ktk jimbo na jinamizi CDM.Wanapata shida kuamua kubaki ktk chama wakihofia walichowekeza ktk chama na adhabu ya chama.Muda umekwenda mtihani upo karibu sijui km kuna nafasi ya utendaji tena.Sijui CCM wanasemaje?Au wasubiri hukumu ya wananchi?Kikwete aliyeahidi madaraja na vivuko mpaka ktk mifereji hana cha kupoteza labda CDM wakichukua nchi kwani mahakama itamhusu.
Kama ndio hakuna utendaji tena na wanahisi wataachia nchi kwanini wasiachie sasa hivi?