Tanzania: Kuuwawa kwa watu kutokana na imani ya kishirikina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Kuuwawa kwa watu kutokana na imani ya kishirikina

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, May 31, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  AUDIO | DW.DE


  [h=1][/h] Makundi ya wanaharakati ya haki za binaadamu nchini Tanzania yanasema kiasi ya watu 3000 wameuwawa nchini humo kutokana na imani ya kishirikina katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2011.
  [​IMG]Watu wengi wameuwawa kutokana na ushirikina

  Kwa mujibu ya ripoti ya haki za binadamu iliyotolewa na Kituo cha Haki za Binaadamu na Msaada wa Sheria kwa wastani watu 500 wanauwawa kila mwaka. Sudi Mnette alimuuliza Msemaji wa Jeshil la Polisi nchini Tanzania Mrakibu Msaidizi Advera Senoso kwa nini hali imeendelea kuwa hivyo?#
  (Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
  Mwandishi: Sudi Mnette
  Mhariri:Abdul-Rahman,Mohammed

  [h=4]Sauti na Vidio Kuhusu Mada[/h]
  [h=2]Sikiliza mazungumzo kati ya Sudi mnette na Advera Senoso[/h]

  [h=4]Mengi zaidi kutoka kigawe hiki[/h]
   
 2. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Watanzania kimyaaaaaaa!
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Sina uhakika sababu za watz kuendelea kuchinjana sababu za ushirikina!!!!
  Haya ndio matunda ya kulea ujinga miongoni mwa watanzania!!!!
  Hebu fikiria,idadi ya watanzania wasio jua kusoma wala kuandika inazidi kuongezeka!!!!!Mwisho wa haya yote ndio haya!!!!
   
Loading...