Imebainika; CCM Haikupendwa Tangu 1977 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imebainika; CCM Haikupendwa Tangu 1977

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SEBM, May 30, 2012.

 1. S

  SEBM JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wakati naanza kidato cha kwanza enzi zile za Chama Kimoja, mojawapo ya masharti ya shule yalikuwa kuwa mwanachama wa UVCC.
  Mimi nilikuwa miongozi mwa wanafunzi wachache walipinga na kukataa mchango ule wa Shilingi mia.Nashukuru nilifanikiwa kuwasilisha hisia zangu.
  Leo imeendelea kubainika tena kuwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977; CCM iliyozaliwa kutokana na muungano wa vyama vya TANU na ASP haikuwa inakubalika kwa wananchi.Akiwasilisha mada katika mfululizo wa vipindi vya Katiba (Somo la 3 : Historia ya Katiba ya Zanzibar), Profesa wa Sheria, Issa Shivji, amebainisha kuwa tangu enzi hizo watu wengi hawakuwa wanaipenda CCM na walikuwa walifananisha CCM na Chai, Chapati na Maandazi kwenye mgahawa.

  Ni wakati muafaka sasa wa kujivua kutoka huko CCM na kuyapokea na kuyakubali mabadiliko ya kweli.

  NGUVU YA UMMA!
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nilimsikia Prof jana. Anasema ccm ilipendwa zaidi na waz'bar na haikukubalika kabisa na watanganyika!
  Nashangaa leo wao ndio wamekuwa nyongo ccm!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kweli ufahamu, usikilizaji na uelewa uko tofauti.

  Hivi wewe hupendi chai, chapati na maharage?
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Lovely!!!
   
 5. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi naichukia ccm kwasababu iliiua Tanganyika yangu!
   
 6. p

  profesa.n. Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 25
  Oyo,iyo mbona ikowazi kwamba viongozi wa ccm,wana igawa tanzania kidini zaidi,waislam nao watumie akili,siokua kama mazezeta
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wakati wengine wanakula kuku, maziwa na asali?
   
 8. S

  SEBM JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama ulisikiliza mhadhara wa Isa Shivji(Profesa) jana na ukasoma mstari kwa mstari; neno kwa neno bandiko langu, utaongeza UFAHAMU, USIKILIZAJI na UELEWA wako utakuwa sawa na kwangu.


  NGUVU YA UMMA
   
Loading...