CHADEMA, MJADAlA WA POSHO ZA WABUNGE UMEFIA WAPI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, MJADAlA WA POSHO ZA WABUNGE UMEFIA WAPI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, May 31, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 736
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wadau kama kawaida yangu huwa sipendi kufungwa macho kwa hoja mpya,mbinu wanayotumia wanasiasa wengi wa Tanzania,wakiona kunahoja inawalemea huanziasha hoja nyingine ili kufunika hoja iliyoko mezani.

  wadau tukumbushane hivi hoja ya kupinga posho ndiyo imekufa kihivyo? na makamanda wetu wanaendelea kula posho kama kawaida! sasa wametuletea tena nyingine kufunika ya posho? au ilishafutwa kwa hiyo wamenyamaza kwa sababu wamemaliza na kunusuru mabilioni ya watanzania yanayopita mifukoni mwa wabunge wetu kuelekea kwenye nyumba ndogo,nyumba za wageni,clab's na kwenye anasa nyingine za dunia?.

  wabunge bado tunakumbuka kuwa hamjakamilisha hili,msitufanye watoto, then ile gari yenye namba KUB bado mhe mbowe anatumia au amerudisha tena?.

  wala usiwe na hasira ni haki yetu kujua!, jamani maana kama CCM wanatuibia mchana kweupeee! na hawa nao wanataka waige mfumo huo si mtatuzika wazima?

  haya karibuni
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,738
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mkuu asiyechukua posho cdm kuna mnafiki mmoja ambae hachukui ila cha kuchangaza huyu mnafiki anachukua posho hasa pale anaposafiri nje ya nchi
   
Loading...