CHADEMA Washinda kesi mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Washinda kesi mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGOWILE, May 30, 2012.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa CHADEMA mkoa wa Dodoma waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kufanya mkutano pasipokuwa na kibali cha polisi leo wameachiliwa huru na mahakama ya mkoa wa Dodoma.

  Hii imetokana na upande wa mashtaka (Jamhuri) kushindwa kutoa ushahidi wa kujitosheleza kuwatia watuhumiwa hatiani.

  Nafuatilia nakala ya hukumu nitawawekea muda sio mrefu.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  verry good
   
 3. RICARDO KAKA

  RICARDO KAKA JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  kilichobaki ni kuendelea kubomoa ngome kuu za MAGAMBA. :lock1:
  pongezi kwa makamanda, japo najua MAGAMBA hawajafurahishwa na hii hukumu hiyo.:israel:
   
 4. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,171
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Lengo la jamhuri lilikuwa ni la muda mfupi nalo lilitimia siku ile, nyuma ya jamhuri alikuwepo ccm!
   
 5. h

  hans79 JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Hiyo inaonyesha jinsi serikali ya hovyo na kesi za ndoto, ahyo yote ni matumizi mabaya ya mali za umma kwani hawana wema na nchi hii.
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nilisema tangu jana kuwa hapo hakuna kesi. Nadhani lengo lao lilikuwa ni kuwaletea usumbufu viongozi wa cdm. Mapambano na m4c yanawapa kiwewe magamba ndio maana wanatapatapa! Hatahivyo naipongeza mahakama ya ddm kwa kuifanya kazi yao vema. Nadhani sasa polisi wataeleweshwa kwamba kazi yao ni kupokea taarifa na kujipanga kutoa ulinzi na sio kutoa vibali kwa mikutano!
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  bravoooooooo............
   
 8. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  safi sana kijana! unatoa taarifa nzuri na za uhakika.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Inabidi hao jamhuri washitakiwe pia na jamhuri kwa kuisababishia hasara serikali.
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  haki Imetendeka, Jamuhuri walipe gharama za kesi
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hawa watu huenda huwa wanasoma humu kabla ya kufanya maamuzi yao. Jana nilisema kuwa kesi kama hizi zinawapatia upper hand washitakiwa kwani wakifungwa inakuwa ni kifungo cha kisiasa na kuwapatia international organisation sababu za ku-monitor ufanyaji kazi wa vyombo vyetu, pia wakishinda kwa mahakama kusema ni haki yao inawaondolea polisi nafasi waliyojipachika ya kuwa waratibu wa shughuli za vyama vya siasa. Nikasema njia pekee kusema haijathibitishwa ili Polisi waendelee kutishia vyama. Soma hapa chini zaidi,

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/270717-hukumu-viongozi-wa-chadema-kesho-30-5-2012-mahakama-kuu-kanda-ya-dodoma.html#post3957451
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha ha ha nacheka kwa furaha kuku nikikanyaga kadi za magamba hapa
   
 13. KML

  KML JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tatizo magamba hawajui kwa kufanya ivyo ndo wanaipaisha CDM wao wanazani wanaididimiza kumbe vice versa:happy:
   
 14. T

  Topetope JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Inapendeza
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tangu lini Shetani akamshinda Mungu?
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana!Kaza buti CDM!
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Bado hukumu ya RMs COURT ARUSHA.2TAPETA TU
   
 18. B

  BOTOPLAM Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi hii inayofanywa na chama changu, ikiendelea kupanda bila kurudi nyuma hadi 2015, nina hakika tutashinda!
   
 19. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mission complete!
   
 20. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Safi sana,asante pia kwa taarifa
   
Loading...