Watuhumiwa Wa Mauaji Wa Mwenyekiti Wa CDM Kata Ya Usa-River Mikononi Mwa Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watuhumiwa Wa Mauaji Wa Mwenyekiti Wa CDM Kata Ya Usa-River Mikononi Mwa Polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Puppy, May 31, 2012.

 1. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Jana Mitaa ya Leganga ilijaa watu wenye mchanganyiko wa hasira na furaha mida ya Jioni baada ya mtuhumiwa wa mauaji kuletwa Leganga.
  Wananchi waliomba wapewe japo dakika mbili nae wapoze hasira zao, ilikuwa ni purukushani sana kiasi ilikasoro kidogo sana gari alimowekwa kupinduliwa na wananchi.
  Aliletwa ili nyumba yake ikaguliwe. Alikutwa na Silaha tofauti tofauti ikiwamo Bunduki, Panga na mavazi ya kuvaa kuficha uso.

  Story Iko Hivi:
  Jamaa baada ya tukio la mauaji walikimbia mmoja akakamatiwa Dodoma. Na inasemekana ana history ya kuua. Na vifaa vilivokutwa kwake vimewahi kutumika kwenye uharibifu mwingine.
  Inadaiwa gharama ya kufanya tukio hilo ilikuwa ni 2M (Million mbili za kitanzania).


  Swala hili linafanyika kisiri sana na watuhumiwa wengine wako ndani kimya kimya.
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,872
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  Sheria na ichukue mkondo wake...
   
 3. Okuberwa

  Okuberwa Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bring the Source please!
   
Loading...