Mgogoro mwingine, Vitambulisho vipya ni vya UTAIFA na vile vya zanzibar ni vya UKAAZI: Maimu

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
2,000
Wadau hii sijaielewa vyema nhisi kama ni upotevu wa pesa, na kwanini mtu awe na ID mbili?

" Khatib alitaka kujua umuhimu wa vitambulisho hivyo na vile vya Zanzibar ambavyo Wazanzibari wamekuwa wakivitumia kwa muda mrefu"

"Akijibu hilo, Maimu alisema vitambulisho vya Zanzibar ni vya ukaazi na hivi vya taifa ni vya utaifa hivyo, Wazanzibari wote watapaswa kuwa navyo ili kutambulika."

sosi: Vitambulisho vya Taifa: Kamati ya Lowassa yataka maelezo ya vyeti feki
 

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,807
2,000
mgogoro sasa hapo uko wapi? Kimoja cha Ukazi kingine cha Utaifa. Bandugu Fafanua mgogoro uko wapi?

Ndimi Bazazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom