Baadhi ya Wazanzibari walio Bara ni wanafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya Wazanzibari walio Bara ni wanafiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Raia Fulani, Apr 14, 2012.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hili lipo wazi kabisa. Inajulikana sasa kuwa baadhi ya Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwa hali na mali. Wako wahafidhina toka kada mbalimbali huko visiwani walio wazi na walio ufichoni ambao, katika siasa, uchumi, n.k. wakitaka kujitenga na Tanganyika. Hili linathibitishwa na kauli za kina Jussa na wengine, na hii ni baada ya kuona kuwa Zanzibar ina rasilimali kadhaa ikiwa ni mafuta na gesi.

  Baadhi ya Wazanzibari walioko visiwani hawasiti kuonyesha hisia zao juu ya nia hii ya kujitenga. Wazanzibari walioko Tanganyika hawaonyeshi dalili yoyote ya wazi ya kupingana na ndugu zao wa visiwani, kama kwa njia ya makongamano na hata taarifa rasmi kwa umma. Hili suala wanaachiwa tu viongozi kulisemea wakati walengwa wakuu ni wananchi wa kawaida. Baadhi ya Wazanzibari walio Bara wanafaidika sana na utulivu, amani na uelewa wa watu wa Bara. Watanganyika walioko visiwani hawana amani kama hawa wazanzibari wa Bara.

  Enyi wazanzibari mlioko Bara toeni tamko kulaani manyanyaso wayapatayo wa Bara huko visiwani, la tunajua lenu moja. Mnachuma Bara kama waasia wanavyochuma Tanzania. Toeni tamko sasa.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hebu leta ushahidi wa hayo manyanyaso!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wabara wanapendekezwa kufukuzwa kazi huko visiwani. Wabara wamechomewa biashara zao. Wabara na hasa wakristo wamechomewa makanisa visiwani. Wabara wakristo Zanzibar hulazimika kufunga Ramadhani kisa uislam umetamalaki huko. Need I say more?
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nikataka ushahidi maana nilijua unaongea jambo usilolijua

  1) Hakuna na halijawahi kutolea pendekezo la kufukuzwa wabara kazi znz, hoja iliyotolewa kwenye baraza la wawakilishi ni kuona kama kuna uwezekano wa kuweka upendeleo kwa wazawa(wazanzibar) katika mfumo wa ajila kuliko wageni (watanganyika,wakenya,rwanda n.k), hili sio tatizo kabisa katika kulinda ajira za wananchi, nenda nchi nyingi tu utakuta sera kama hizi.

  2) swala la kuchomewa biashara zao una maana gani? na biashara gani hizo? maana wazanzibar wanaimport bidhaa nyingi sana itakuwaje wazichome zifikapo zanzibar? nakuomba uilete hii hoja kiuhalisia ni biashara ipi ilichomwa ndio ntakujibu.

  3) Ni uongo wa aina yake, sheria ya dini ya kiislam hamlazimishi mtu kufunga na hakuna sio mkristo(hata hao waislam) wanaolzimishwa kufunga. huu ni UZUSHI WA AINA YAKE kuwahi kuusikia na hauna ithibati.

  Pole kwa hoja LEGE LEGE
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..wa-ZNZ walioko huku Tanganyika wasisumbuliwe hata kama muungano utavunjika.

  ..wenye matatizo na muungano ni wanasiasa kama Maalim Seif,Ismael Jussa, na wenzao ndani ya CUF.
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Sisi hapa mtaani tumeshagawana nyumba na viwanja vya Wazanzibari, tunasubiri tu wavunje muungano tujimilikishe rasmi
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mzee Fisi unasubiri mkono uanguke ili uudake?
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  'MUUNGANO FEKI USHATUCHOSHA WAZANZIBARI
  HATUUTAKI'

  Hiyo ni link kwenye u tube inayoashiria ni kiasi gani vuguvugu la wazanzibari kuitaka Zanzibar yao lilivyo juu. Just type hayo maandishi kwenye youtube.

  Viongozi wa kitaifa hawawezi kuwa wawazi juu ya kile wananchi wao wanachokiamini. Kauli ya wananchi ni kauli ya viongozi, sema katika uongozi wa kisiasa ukweli huwekwa kando hadi pale utakapopata ufa wenyewe na kuamua kuvujia nje. Tusijidanganye kuwa hakuna tatizo.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Bora umesea ukweli....wana siasa ni watu wa kuwaogopa kama ukoma. Wanataka kuigawana zanzibar fasta bila ya wananchi kujua.
   
 10. K

  KINYAPENYAPE Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa wazi wewe *****,kumbe wewe ndo mnafiki ,unazungumzia wabara huku ukimaanisha wakristu,wanaonyanyaswa ni wakristu au wabara?
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mbaya zaidi wale wanaochochea utengano na uhasama kati ya Tanganyika na Zanzibar ni wale wenye asili ya kiarabu. Kina Jussa, Maalim, Sheikh Basalehe na wengine kama wanavyoonekana kwenye mihadhara. Ni dhihaka sana kwa wazanzibari weusi kutumiwa kiasi hiki na hawa watu
   
 12. k

  karafuu Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie naona unafiki anao nyerere na baba yenu wa tanganyika,kutaka muungano na znz,hebu na uvunjike hatuutaki kwani lazima
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ila katika mchakato wa kuuvunja msituumizie ndugu zetu walioko huko kwenu. Hata Maalim keshasema msiwe na woga katika kutoa maoni juu ya aina gani ya Muungano mnaotaka. Viashiria vinaonyesha hata yeye hautaki Muungano hivyo anajificha kwenye makwapa ya wazanzibari katika kutekeleza hili.
   
 14. J

  John W. Mlacha Verified User

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  unafiki anao baba yetu mpemba karume aliyejifanya kujiunga na tanganyika bila ridhaa yenu hii inamaanisha kuwa wapemba na wazanzibari wote ni vilaza na mtakuja kuuzwa hivi hivi
   
 15. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Nimezaliwa Tanzania na ningependa kuendelea kuwa Mtanzania..
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu Raia Fulani,
  Jisikie aibu kuongea uongo ulio dhahiri tena mbele ya hadhara!! Uongo wa namna hii haupendezi hata kidogo!!
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wazanzibari tusaidieni turudishiwe Tanganyika yetu, sisi tunatishwa na hii ccm tunashindwa kudai Tanganyika yetu lakini kupitia kwenu mkifanikiwa nasi tunaipata. Big up uamsho
   
 18. J

  John W. Mlacha Verified User

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  tunawaomba sana wazanzibar mtusaidie kurudisha tanganyika yetu
   
 19. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Acha uhuni kuwa honest.We Mtanganyika unanfananisha na mnyarwanda, mkenya?HAPA NDIPO NINAPOSEMA RATIONAL REASONING HAIPO.
  Wale masai wanauza vinyago na kabia pale UROA beach walichomewa nini?Wala usijifanye kuwa pombe ni haramu.Kuibiana WAKE ni haramu zaidi,UNGA unaotumika zanzibar ni zaidi ya dar,USHIRIKINA,NA USHOGA WA WAZI NA MAFICHONI NI AIBU.Usiweke kichwa chini kama mbuni.Hii mnafanya kwa hasara yenu na hamtaweza iona leo.
  Basi tuite sheria za zanzibar+maombi ya watu wanaojiona kuwa imani yao haitekelezeki bila msaada wa kuondolewa vishawishi. I WONDER MTU ANATAKAJE THAWABU KWA KAZI ASIYOFANYA?.Ni kawaida kabla ya Ramadhani kusikia kelele za watu kuwa Chakula kizuie, pombe isiuzwe, sijui pasiwe na matamasha. MAY BE TUNAHITAJI WAPA ZAWADI WAFUNGWA WOTE WA WIZI KWA KUTOIBA WAKIWA MAGEREZANI.
   
 20. l

  liverpool2012 Senior Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awa wanzenji mabwege tu,lisu alianzisha mjadala wa muungano kwa ujinga wao wa CUF na CCM wakambeza sana,sasa wanakuja wanataka tujidili mambo ambayo tungesha yajidiri yakaisha tuka jua tutengeneze katiba gani.
   
Loading...