WanaJF, hii nimeinasa kwenye blog ya Michuzi nikaona inafaa kuanikwa hapa pia!
Samahani sana Anko, naomba uweke hii hoya yangu kwenye libeneke lako ili niweze ku-share mawazo yangu na watanzania...
Walikuwa wakisubiriwa kwa hamu mno.Waseme japo neno moja juu ya vurugu za Zanzibar.Vikao mbalimbali vya Nyinyiemu vilijiapiza kudandia kwa kuponda kauli ya kiofisi ya CHADEMA juu ya vurugu...
Mwenyekiti wa taasisi ya kiislam Dar bwana Sadiki Kotikoti na wajumbe wenzake wamelaani vitendo vya wanauamsho wa Zanzibar na wamesema UAMSHO hawana tofauti na Alshabaab au al-qaeda.
Pia...
Katika utangulizi wake kuna maneno yanasema "Binadamu wanapofanya umoja wa aina yo yote huwa wanayo shabahaya kuunda umoja huo.Pengine ni umoja wa kujipatia elimu , au wa kufanya biashara,au wa...
hello jamiis. Kwakua rais ameshabadilisha mara zaid ya 2 watendaji wake, kwanini asituletee watu wenye upeo zaidi "wazungu" ili watuwekee system sisi wenyewe tumeshindwa. naomba mchango wenu..
Ndugu zangu,
Vijana wengi leo wanaikimbia CCM na hawataki kuhusishwa nayo. Tujiulize; ni kwa namna gani vijana hawa watakuwa na mapenzi na chama kinachohusianishwa mara kwa mara, na kashfa...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameeleza kushtushwa na kauli ya Rais Jakaya Kikwete inayolenga kuzuia wananchi kujadili kuhusu Muungano wakati wa...
NCHI HII MPAKA HAPA TULIKO IMEJENGWA KWA KUTUMIA MAWAZO YA WATU AMBAO HAWAKUA WASOMI NAO WALIWEZA KUWEKA MISINGI IMARA SANA NA TUKAWEZA KUIHESHMU JE?
Kwa sabbu katba tuliyo kuwa tunaitumia...
Napendekeza tuunde mahakama maalumu itakayoshugulikia mawaziri wote waliohusika na uhujumu uchumi.
Tofauti na hapo tutakuwa tunashuhudia kesi nyingi zinafunguliwa na fedha nyingi zinatolewa...
Kweli CCM sasa wanaweweseka, yaani neno la kwanza kabisa katika blog yao ni CHADEMA, hiyo heading ni story ya kwanza kabisa iliyopo kwenye blog ya ccm leo.
Kweli nape na wenzake sasa wanahaha...
Mara baada ya mtikisiko mkubwa wa uchumi wa dunia mwaka 2008, tulisikia wataalamu wetu wa uchumi akiwepo Gavana wa Benki kuu Tanzania Prof. Ndulu akisema kwamba uchumi wa Tanzania hautaathirika...
Watanzania wazalendo tunahtaji na tunategemea mchango wa dhati wa kambi ya upinzani chadema kupitia wabunge wake kutuwakilisha vilivyo katika kutupigania, kutukomboa, na bajeti ambazo hazikizi...
na Abdallah Khamis, Mtwara
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa amemtaka Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kuacha kutisha na kuwakamata...
Watanzania hatutumii muda wa kutosha kujadili maendeleo. Muda mwingi tunajadili mapenzi na kidogo siasa za ushabiki. Iwapo tutaendelea hivi, basi nchi yetu itaendelea kuogelea kwenye dimbwi la...
Na Hafsa Golo
MUFTI wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi, amewataka masheikh na viongozi wa dini kuwafichua watu waliohosuika na vurugu na ghasia zilizotokea mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mufti...
Hamisi Kigwangalla ‏@hkigwangalla Maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi sasa kufanyika tar 16 Juni 2012. Nyote mnaalikwa kutuunga mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.