Mnyika karibu Shinyanga mjini 2015

Mpaka sasa mbunge alie makini ktk utendaji kazi wake ni Mnyika..Hongera sana kaka kwa kazi nzuri,.

hii ni nini sasa au vidole vimekuwasha tu,nenda kacheze na wageni wenzio kwenye jamvi la wageni hapa hupawezi

Join Date : 30th May 2012
Posts : 3
Rep Power : 0

Likes Received 0

Likes Given 0
 
Join Date : 30th May 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

Sikujua, kumbe unajifunza kuanzisha post.
 
Jamani huyu jamaa ni mgeni inatakiwa aelekezwe sio kumkashifu. Pastor Dave hakikisha next time title ya post yako inaenda sambamba na content (ujumbe), usiweke post kwa hisia hii ni JF!!
 
Asante sana kwakutambua hivyo


Kwanza nataka nisema CHADEMA wana very good Orators, yani wakiogea unashimba kwamaneno yao kama hata madarakani wata kuwa hivyo basi Tanzania yitapata neema yakuwa navyogozi kweli.

Lakin beware of good speakers mara nyingi niwatedaji wasio ridhisha. E.G I have never seen a better speaker the former president of Zambia CHILUBA lakini mwishoni akaharibu Inchi kuliko Kaunda.

Cha muhimu wa Tanzania fusa ya hiyi yakupata Katimba wayitumie.

What is important is to empower INSTITUTIONS kama, Tume yauchaguzi, mahakama, police not the armey vyombo vyote hivyo vinausika nawatu moja kwamoja.

Tukifanya hivyo sio chamuhim ninani atakuja madarakani.
 
Back
Top Bottom