Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Leo saa kumi jioni Star Tv kwenye kipindi chake cha 'Vidokezo vya Habari' kumetokeza habari kwamba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora amejiunga na Chadema.


Ama kweli M4C inashika kasi kubwa.
Tunamsubiri mpendwa wetu Nape Nauye ambaye ameshindwa kututhibitishia hapa JF uanachama wake wa ccm. Cross the floor and welcome Nape.CDM is your sweet home!
 
na bado huo ni mwanzo 2, chadema haijafika ambako 2nataka ifike, watabatizwa na kufanyiwa ibada wana sisiem wote watako ridhia kuhama na kama watakiz viwango vya ubora kujoin chadema,
 
Ha ha ha! Namjua huyo jamaa alohamia CDM na nadhani atakuwa kachoshwa na Rage (alishabab)
Peoples...........!

Shardcole@Tabora1
 
Ndugu yangu Hygea tuwe makini na hawa watu!!!!!!!!!!!!!! ila kwasababu ni kijana sina tatizo sana, ila tunapofikia kupokea njaa njaa kama shibuda tuwe makini sana. CDM ni tegemeo kubwa kuleta mabadiliko TZ. Ahsante kwa taarifa mkuu.
 
MAKAO MAKUU-DODOMA watoe tamko juu ya hili tena kama walivyojibu hotuba ya Zitto aliyoitoa Merikani.
Mungu amepanga aibu kubwa kwa ccm, ambayo itamwacha kila Mtanzania mdomo wazi.
 
M4C ndio hii......sasa.
milango iko wazi kwa wengine...kujiunga pia...na pia iko wazi kwa Shibuda kurudi alikotoka
 
hayaaaaaa!!!! peopleeeeez!!!!!!!!!!!!! poweeeeeeeeeer!!!!!!
 
Huyo kaamua KUVUA GAMBA mwenyewe baada ya MELI YETU YA CCM haitaki kuendelea nao wasio wasafi
 
Embu tupeni jina la huyo kijana aliyeamua kuvua magamba na kuvaa gwanda?
 
Mleta mada hebu jipange ulete habari kamili na inayojadilika! utuambie huyo mwenyekiti anaitwa nani? na ametumia jukwaa lipi kutangaza kujiunga na cdm I mean chombo kipi cha habari na ametoa sababu zipi za kuvua gamba na kuvaa gwanda na rekodi yake ndani ya Magamba ilikuwaje! umetudokeza vizuri lakini ungefuatilia zaidi mkuu!!
 
Huyo kaamua KUVUA GAMBA mwenyewe baada ya MELI YETU YA CCM haitaki kuendelea nao wasio wasafi
Naona wewe ni bingwa wa reverse. Hilo umeliongea umedhamiria au unaweweseka usingizini?
 
Hawa vijana wengi wa chama cha magamba huu ndio wakati wao wa kukikimbia chama chao kwani vyeo vya uDC ndio vimekwisha!!
 
Utamsikia vuvuzela Nape atakavyo mwaga pumba.haya mapigo ya M4C habaki mtu,watako kataliwa kupokelewa CHADEMA watakimbia nchi
 
Hawa vijana wengi wa chama cha magamba huu ndio wakati wao wa kukikimbia chama chao kwani vyeo vya uDC ndio vimekwisha!!

Millya alisema hiki kitu,watu wakabisha sasa mambo hayo,chezea chadema wewe
 
Nepi aje asema na huyu ni gamba...maana anazeeka vibaya yule kijana. Nampongeza huyu kijana kwa maamuzi sahihi tena kayachukua muda muafaka. VIVA CHADEMA, VIVA MAKAMANDA.
 
mi nlishafunga buti nipo fulu combated nasonga mbele Popote mlipo mavijana 2sikubali
 
Back
Top Bottom