Wanzibari Muungano umewazuia kufanya vitu gani au umewarudishaje nyuma kimaendeleo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanzibari Muungano umewazuia kufanya vitu gani au umewarudishaje nyuma kimaendeleo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, May 30, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Napenda kufahamu Muungano umewazuia kufanya nini katika maendeleo yenu ya nchi na mkiwa huru mtafanyaje ili muuendelee kiurahisi bila muungano?
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Napenda kufahamu Muungano umewazuia kufanya nini katika maendeleo yenu ya nchi na mkiwa huru mtafanyaje ili muuendelee kiurahisi bila muungano?
   
 3. n

  nisaha Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SOMA KWANZA HII ALAFU UTATAMBUA KUWA, Faida ya muungano zanzibar ni ukafiri,Ndio maana makanisa yanachomwa:

  Kwani zanzibar inajulikana sana historia yake, lakini Tanganyika ilifanyamapinduzi zanzibar kushirikiana na muengereza
  na kuwaua wazanzibar wengi sana ambao ni Waislam nakubadilisha historia ya zanzibar, pamoja na kuwabatiza wazanzibar wote watumwakwa lazima au mtu atakatwa kichwa kama vile alivyofanyiwa kunta kinte kuitwatoby.

  Jeshi la Tanganyika lilishirikiana na watumwana baadhi tu ya wanafiki wa unguja kuwaua Waislam

  Watanganyika wengi walijipenyeza zanzibarbaada ya uhuru kwa kushirikiana na muengereza ili kufanya mauaji ya kinyamazanzibar. Pia kuna kumbukumbu nyingi tu za watumwa zanzibar watu ambao waliokuwawakifanya biashara za utumwa zanzibar walikuwa waengereza, wakifisha watukutoka bara kwenye makanisa ambayo chini kuna mahandaki na hata kufungiwa ngomekongwe.

  Ni dhahiri zanzibar ilikuwa ikisifika kwaidadi kubwa ya waislam hata kafiri kutoka bara akiingia tu zanzibarhujisilimisha mwenyewe na kujiita jina la Asuman au Rajabu kwa wanaume nawanawake Maliam haya ndio majina yao makubwa. Kukaletwa historia mbovu ambayohata Karume alitorokea utumwa akalelewa na wazanzibar pia iliandikwa historiakuwa amezaliwa Mwera na mtu kulazimishwa kuikubali kwa nguvu hadithi hiyo hatawanafunzi mashuleni.

  Zanzibar kukawa kuna afro shirazi ambayoilichanganyika na wabara ambao ndio waliopelekwa kule kuua. Maendeleo yazanzibar yalipozidi kukua watanganyika wakakasirikiana na kibaraka wao ambaye Karumekwani alizidi upande wa wazanzibar na kuwazarau watanganyika ambao ndio waliouana ambao ndio waliofanya mapinduzi.

  Siri ya kifo cha Karume kinajulikana lakinikimefichwa na aliyemuua ni rafiki yake ambaye ndie aliyemueka baada yakutokubalia na upande wa wabara, wakamuua hapo ndio walipomuweka Jumbe ambaye naye alikujakuua Zanzibar na yeye hana famili zanzibar na kutupwa nje wazanzibar na kuwafukuzawazanzibar wa upande wa Karume na kuwasingizia kuwa wamemuua Karume. Wenginewakauliwa , wengine walikimbia, na Salim A. Salim pia walimsingizia,

  Ukweli waliomuua ni jeshi la kutoka baraambao waliingia na land rova mbili, na pia mwanawe Ali Karume alitoroshwazanzibar baada ya kuua na kesi yake mpaka leo ipo lakini hakuna hata mmojaanayeweza kuizungumzia.

  Baada ya Amani karume baadhi ya wazanzibarwalimpiga madongo ambao ni ccm akiwemo Dr. Salmini na timu yake na pia kumwitamamluki baba ake kauza nchi nayeye anapewa nchi akaimalize. Kweli ameimalizaAmani Karume kwani amejaza ukafiri amejaza wabara kisiwa kidogo wenye nchihawana raha lakini wabara wana raha.

  Walipoulizwa wazanzibar kuhusu muunganowaliukataa, lakinikarume alisema waulizwe wazanzibar wenyewe ambao ni watanganyika waliofanyamapinduzi, kamawanavyosema mapinduzi daima ndio kilauchaguzi ukija zanzibar hupelekwa pilisi na jeshi kutoka bara na kupigawazanzibar ovyo na kuua.

  Hakuna nchi za ulaya hata moja inayopigakelele kwani inajua fika zanzibar ni nchi ya uislam zinafanya hivyo ilikuiharibu na kuwa nchi ya kikafiri kama ilivyo sasa ni nchi ya makafiri kama Karumealivyoifanya,

  Nyerere alisema eti wananchi wake niwaislam lakini nchi si ya kiislam ni jambo la kushangaza sana kwani wewe mwenyenchi ukiwa muislam na nchi yako itakuwa vipi? ndio Amani Karume akasema wenyezanzibar ni watanganyika waulizwe watanganyika wakati yeye mwenyewe asili yakesio mzanzibar.

  Lakini tatizo kubwa la wazanzibar niunafiki hasa wa kisiwa cha unguja na baadhi ya wapemba wachache, sio kama hawayajuihaya lakini ni sawa na mfanya biashara ya uasharati akiwa na njaa yeye anatoatu.

  Majeshi yaliopindua zanzibar ndio mpaka leo yanayofanyamapinduzi. nyie wenyewe mutaona na hawa majeshi waliokuwa wakiua walitoka wapi?baadhi ya watu waliokimbilia tanganyika eti kukimbilia usalama wao wakauliwakule pia? na baadhi ya watu waliokamatwazanzibar walipelekwa tanganyika kuuliwa.
  Hakuna mtu asiyejuahili na mali za zanzibar zilipelekwa tanganyika kama vile USA ilipompiga muiraqwakaiba mali na kupeleka marekani ndio wabara walivyofanya zanzibar

  Amani Karume ametujazia watanganyika ili waje watuue nahili ni kosa la akina Salmini kwani walilijua fika kwani waliyasema hadharanibaada ya kuona muda wao unamaliza wa uongozi
  Lakushangaza walipokuwaviongozi walishindwa kuitetea zanzibar, ni unafiki tu. Faida ya muungano ni kwatanganyika tu zanzibar haina fungu labda polisi na jeshi.

  Faida yamuungano zanzibar ni ukafiri, Ndio maana makanisayanachomwa.
   
Loading...