Watu wasiojulikana wavamia na kutoroka na masanduku ya kura uchaguzi mdogo kisarawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wasiojulikana wavamia na kutoroka na masanduku ya kura uchaguzi mdogo kisarawe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikael P Aweda, May 31, 2012.

 1. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu leo ktk safari zangu za kikazi nilikuwa mkoa wa Pwani wilaya ya Kisarawe kata ya Msimbu na kijiji cha Mwanzo mgumu. Nilipofika habari zilizozagaa kila kona kijiji kizima ni habari ya watu ambao wenyewe wanawaita mabaunsa waliovamia chumba cha kuhesabia kura 27/5/2012 na kupora masanduku yote ya kura na kutokomea kusikojulikana.
  Huu ulikuwa ni uchaguzi mdogo wa kijiji cha Mwanzo Mgumu ambao ulikuwa na ushindani mkali kati ya Chadema na CCM.
  Habari zinasema tangu awali ilionekana wazi kuwa Chadema wangeshinda kwa mbali. Uchaguzi ukafanyika na kura zikapigwa. Wakati wa kuhesabu kura na kabla hawajafika hata nusu ya kuhesabu kura huku CCM ikiwa na kura 21 na Chadema 103 ndipo mabaunsa hao walipovamia chumba hicho na ikawa mwisho wa stori.
  Cha kushangaza mpaka leo watu hao hawajajulikana na haijajulikana walitumwa na Chama kipi kati ya CCM na Chadema mbaya zaidi hakuna aliyekamatwa. Wengi wanahisi kuwa pengine ni CCM kwa kuwa kipindi chote cha kampeni ilionekana kulemewa sana kutokana na mgombea wake kutokubalika. Nasisitiza CCM inahisiwa tu na hakuna ushahidi wo wote uliopatikana kwa sababu nimeongea na viongozi watatu kutoka kijiji jirani cha Bwama na wote wamesema kwamba hakuna anayejua watu hao walikotoka na aliyewatuma.
  Huku kijiji kimojawapo cha kata ya Kibuta, (jirani na kata ya Msimbu) wilaya ya Kisarawe mapema kidogo (siyo mwezi huu) kulikuwa na uchaguzi wa serikali ya Kijiji hicho ambapo CCM walishinda kwa kupata kura 107 huku Chadema ikipata 64.
  Waandishi wa habari za magazetini ambao ni wanaJF nawapa Changamoto mtupe details ya hii habari. Kutoka chanika (ilala Dsm) ni kama km 50 or Less tu na utakuwa pwani ndani ya kijiji cha Mwanzo mgumu. Mimi sikuwa na Muda wa kukaa kutokana ratiba niliyokuwa nayo.

  My take.
  Mvutano mkali kati ya CCM na Chadema ktk mkoa wa Pwani (nyumbani kwa baba Riz) na ngome ya CCM inatupa ishara gani 2015?
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  sosi plizi
   
 3. s

  slufay JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  2015 itakuwa hivyo hivyo na nyie mjiandae pia mnaotaka kwenda magogoni
   
 4. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We Mpemba, Waunguja wamesema muondoke kwao mrudi kwenu pemba!

  Na sisi hapa Tanganyika hatuwahitaji tena!!

  Nendeni mkapande minazi!
   
 5. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu tume ya katiba, Soma vizuri bandiko la Mikael. Hivi hapo sosi ya nini wakati anasema yeye mwenyewe alikuwepo huko na amesikia habari zilizozagaa kila kona?!
   
 6. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Source ni mimi mwenyewe na kama huamini nenda kijijini hapo uthibitishe mwenyewe. Kama hutaki kuamini kuwa huu ni mwanzo wa mwisho wa ccm nitakusaidiaje? Nimeongea na wananchi zaidi ya sita na nimeongea na viongozi niliokuwa nashirikiana nao ktk kazi zangu na wote ni kutoka ccm.
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  We Kiganyi mbona mbaguzi sana wewe, hujui kwamba bindamu wote ni sawa?

  MOD wapo wapi member nabaguliwa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Huku bara panakuhusu nini mkuu?nyinyi si hamtaki ushirika,changanya ****** urudi kwenu micheweni baba
   
 9. Ishina

  Ishina Senior Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe vip?! unata source ya gazeti la uhuru au Mzalendo?! source ni muazisha uzi mwenyewe, ambaye, amefika eneo la tukio na ametoa changamoto kwa waandishi wa habari wafuatilie suala hilo na walipoti ukweli ulijioficha.
   
 10. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Mikael P Aweda kuongea na wananchi 6 kati ya watu wa kijiji kizima ndio uje na conclusion hapa jamvini? Mbona hutuambii unafanya kazi gani katika hicho kijiji?
  we mwana CDM na ugomvi ni kati ya CCM na CDM unafikili utakuwa fair? Nasisitiza hii taarifa ina "uchakachuaji wa hali ya juu" na isipewe umuhimu wowote.

  Wananchi wanataka maendeleo sio kila kukicha propaganda!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,342
  Likes Received: 2,674
  Trophy Points: 280
  Hilo zoezi la uhesabuji kura hakukuwa na ulinzi japo hata wa polisi wawili watatu? au sheria hairuhusu uwepo wa wanausalama wakati wa kuhesabu kura
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  SOURCE ipi tena unataka si ameshakuambia alikuwepo huko kikazi kwa maana nyingine source ni yeye mwenyewe!!
   
 13. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hizi ni dalili tosha kuwa hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anyeishabikia CCM.

  Wanaamua kuiba kura maana kuchakachua wameshindwa.

  Cha ajabu ina maana huo uchaguzi haukuwa na usimamizi wa Jeshi la Polisi???  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 14. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yeye mwenyewe!
   
 15. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  na wewe usiwe kama debe tupu takwimu hujubiwa na takwimu, taarifa hujibiwa na taarifa kama huyu mwana JF kaleta taarifa potofu au iliyochakachuliwa fine wewe weka taarifa sahihi inayokanusha ya kwake hapo utakuwa great thinker kinyume unaonekana gamba ndaani ya jf!
   
 16. KML

  KML JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sosi kachukue kwa nape
   
 17. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Wewe Tume ya katiba Sosi hii hapa

  [​IMG]

  Kama sosi hiyo hauijui basi ongezea na Urojo wa kwenu Chumbuni - Zanzibar

  [​IMG]
   
 18. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  kumbe huyu ni mwana UAMSHO namihadhara waliochoma kanisa katoliki?? nina uchungu nao we acha tu!!
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kushinda uchaguzi ni mbinu tu- JK.
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Labda wameenda kutumia hayo masanduku kama ndoo za kuwekea sukari na unga, wanashangaa nchi chaguzi kila siku wakati wao hawana vyombo nyumbani.
   
Loading...