Zitto rudi Kigoma mjini tujenge CHADEMA yetu 2015 tuchukue jimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto rudi Kigoma mjini tujenge CHADEMA yetu 2015 tuchukue jimbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chillipo, May 31, 2012.

 1. Chillipo

  Chillipo Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tukupitia Jukwaa la great thinkers napenda kumuomba sana Mh Zitto arudishe nguvu zake kigoma mjini kwan tumechoka kuona jimbo la Kigoma Mjini likinyakuliwa na CCM kila msimu hadi tunamkumbuka Yuda wetu Dr. Kabourou natumaini kama tukijipanga tunaweza kulirudisha mikononi kwan kama yunaweza kunyakua Madiwan na kuishika municipal kwa nn tushindwe kukamilisha hako kadogo kalikobakia
   
 2. T

  Topetope JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Zito ni muwakilishi nguvu kibwa mabadiliko makubwa ni ninyi watu wakigoma mjini vija,wazee,mama,dada zetu nawengine wengi
   
Loading...