Ng'ang'ania nafasi uliyo nayo ewe mbunge wa CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ng'ang'ania nafasi uliyo nayo ewe mbunge wa CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rasib, May 31, 2012.

 1. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duuh! M4C inatisha mbunge wangu nahisi unga wa rutuba umeanza kumfanya aogope maana ameanza kutoa tamko kwa wakurungenzi na kuanza fuatilia miradi ya maendeleo ya jamii! Tahadhiri hatutaki longolongo sasa hivi we need actions..
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi mbunge wangu keshakula vumbi la m4c.
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mwenzenu mimi mbunge wangu ni shibuda sijui mnanishaurije
   
 4. olele

  olele JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Mbunge wangu hajui kama avae gamba au gwanda
   
Loading...