Kuna hatari gani kuiacha Zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna hatari gani kuiacha Zanzibar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Collin, May 31, 2012.

 1. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wadau napenda kufahamu ni kwanini viongozi wetu wanaona ni dhambi na ni vigumu kujadili mustakabali wa muungano wa tanganyika na zanzibar?je kuna hatari gani ya kuuvunja?
   
Loading...