Mapandikizi ya CHADEMA ndani ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapandikizi ya CHADEMA ndani ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANGUNGO, May 31, 2012.

 1. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kwanza nakipongeza chama changu cha chademokrasia na maendeleo kwa kuendesha harakati ktk sehemu tofauti nchi kama vile MOVEMENT FOR CHANGE(m4c),VUA GAMBA VAA GANDWA, OPERATION SANGARA n.k,

  Nawapa moyo mwenyekiti (kamanda Mbowe) na katibu wake Dr. wa ukweli Slaa ambaye kwa kweli anastaili kuitwa BABA WA TAIFA WA PILI kwa harakati, kupigania maendeleo ya watanzania wote pasipo kubagua ukanda,ukabila na udini, sitasahau pia makanda wengine wote na wanaharakati wa kujitegemea kama Deusi Kibamba, Marcus Alban na wanafunzi wa vyuo vikuu wote ambao mchango wao mkubwa uanaonekena ktk vuguvugu ili la mabadiliko.

  Wakuu,lengo la kuandika ujumbe huu unatokana kukaraishwa kwa mda mrefu sana na mjadala ambao umekuwa ukiendeshwa juu ya huyu MAMLUKI SHIBUDA na harakati zake za kukihujumu chadema, binafsi namlahani kwa harakati zake ambazo ni kishetani kwa lengo la tumbo lake na familia yake ili tu, kuhujumu wanyonge walio wengi,na pia namwakikishia shibuda lahana ipo nyuma yake kwa matendo anayofanya kuihujumu cdm na MUNGUamemuweka dhairi sasa kwani tumemfahamu wazi, lengo ni kuona viongozi wakuu wa chama wanafarakana na kuachana na m4c ili kumjadili yeye akidhani atakuwa amekidhoofisha chama lakina ameshindwa.

  Watu wamesahau kuwa CCM mpaka sasa wanaangaika na kuumana kila kukicha kutokana na MAMLUKI ya chadema yaliyopandwa ndani chama chao wanabaki kumjadili shibuda ambae hana athari yoyote kwenye chama makini kama chadema kwani kimeweza kumjua na kumzibiti na hatimaye amebaki kama tahila analopoka kila kukicha.

  Chadema kimekuwa kikidhoofishwa na vyombo vya dola kama polosi,mahakama na hata jeshi kwa kumtumia shimbo kutoa kauli za vitisho kama alivyofanya ktk uchaguzi wa 2010 lakini chadema kimeweza kusimama na kinasonga mbele na watu wanzidi kubadlika ccm na serekali yake vimebaki vinaangaika na migogoro na mamluki wa chadema ndani na nje ya chama chao,siwezi kuwataja mamluki wa cdm walio ndani ya ccm kwasabu za kiusalama lakini ccm wanalijua hilo swala kwamba chama kinahujumiwa na mamluki na zaidi makundi yyanayong'ata kusaka uraisi 2015.

  Ninachotaka kusema cdm ni kinachokuwa na kikubwa kuliko ccm lakini kimeweza kuivuruga serekali na chama tawala kwa ccm na magazeti yake niwaambie huu sio wakati wa kuishambulia cdm kwa kumtumia mpumbavu shibuda,ni wakati wa kutekeleza ahadi za maisha bora na kukikarabati cha chenu kwa kujiandaa kuwa wapinzani wazuri 2015.

  Mwisho niseme KAMA NI SUALA LA UMAMLUKI,BASI TUMEWAPANDIKIZIA MAMLUKI WA KUTOSHA CCM NA WAMEWEZA KUWAVURUGA NA KUKIPALANGANISHA CCM, LAKINI CHADEMA TUMEWEZA KUWADHIBITI POLACCM, USALAMA WA CCM NA MAJAJI PANDIKIZI KWENYE MAHAKAMA DHIDI YA KESI UCHWARA, mliwaweza cuf, nccr, tlp, udp na vya vingine vyenye njaa na tamaa ya ela kama mwanamke malaya, lakini chadema kitabaki kuwa imara.

  Peoples power
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  CDM ni zaidi waoemu wanavyoifahamu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Powerrrrrrrrr,Twanga Kotekote!!
   
 4. B

  Benaire JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tusipende kuwa tunatumia kauli za kuwabeza wapinzani wengine kama CUF,NCCR na TLP.
   
 5. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu hilo la CDM kupandikiza mamluki CCM halipo waache CDM wanasimama wao kama wao, na wala hawajaja hapa kuleta habari za CCM bali ni waajiriwa wa serikali wanaokerwa na mienendo ya waajiri wao ndio wanaowaletea CDM data, kwahiyo enzi za mzee wa Kiraracha na mabomu yake unataka kutuambia NCCR na TLP walipandikiza huko? Je enzi za CUF nazo. CCM wasitafute mchawi bali wamejiloga wenyewe na mganga wao kafa, iliyobaki wafe na mahirizi yao yaliyojaa laana na manung'uniko ya wanyonge
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Chadema wamefanikiwa sana kupandikiza mamluki CCM,wengine hawa wakina Maige naona wamestukiwa wametoswa.
   
 7. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kazi kwelikweli
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  We nae wa wapi? Hivyo si vyama vya upinzani ni vyama visaidizi vya ccm.
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mkuu mapandikizi ya cdm ndani ya sisiem niyanni?sisiem ilishakufa kitambo,sisiem zipo nyingi,kuna sisiem ASILI hii inaongozwa na Kingunge nawenzake 2 sisiem KAMPUNI hii inaongozwa na EL nawenzake 3 sisiem BMW hii inaongozwa na baba naniiiiiiiiiiii na wenzake 4sisiem MASLAI hii kiongozi wake ni Nape.


  Kama kuna nyingine ongezea chini
  5.....................................................
  6.....................................................
  7....................................................
  8........................................................
  9...........................................................
  10............................................................
   
 10. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Bado wanaye mmoja MAJI MAREFU
   
 11. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kweli kichaa ajijui kama yeye ni kichaa hivi kweli Dr.Slaa anaweza kuwa baba wa taifa wa pili?
  Tabu kweli kweli!..

  -(A BIG SHOULD HAVE A BIG MEMORY.)
   
 12. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kweli kichaa ajijui kama yeye ni kichaa hivi kweli Dr.Slaa anaweza kuwa baba wa taifa wa pili?
  Tabu kweli kweli!..

  -(A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY.)
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  nilidhani unawataja hao mamluki kwa majina!thread nyingine bhana!
   
 14. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  pole wewe uliye kwenye ukungu sisi tuliona harakati zake za kweli tangu bungeni na kwenye chama akisaidiana m/kiti mbowe tumemtunuku kuwa BABA WA TAIFA WA PILI kwa kupigania UKOMBOZI WA TANGANYIKA dhidi ya mkoloni mweusi CCM sijui wewe uliye kwenye UKUNGU unzeshindwaa kuona ili.
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280

  hii nimeipenda kwa sababu ndo ccm halisi..asiyejua habari ndiyo hii
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  King Kong III mzee unatisha! Hiyo avatar yako inaonyesha unapenda sana kulala na ukiamka tu bas powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Mahaba yana raha yake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kwa sababu naangaika bila kujua yeye pia nagombani madaraka kwa ajiri ya kupata ugali wa kuwalisha familia yake.siku CDM itapata kuongoza nchi mtaikumbuka CCM.
  -(A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY.)
   
 18. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wewe unadhani nani anaweza kuwa?? kasema tu mawazo yake unabwabwaja, sema yako tuchambue.
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nashangaa sijui kwanini wanawaacha tu hawawatimui.
   
 20. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Waganga wa CCM walikuwa wengi wakishilikiana kukiloga chama chao wengine wamekufa na wengine bado wako hai.kama wakina Makamba huyu alikiloga hiki chama na sidhani kama watakuja kupata dawa ya kukiponya,na waganga engine hapa wapo wawli hawa wao wanaandaa na mahali pa kukizika hiki chama chao kwani wao wanaendelea kukiloga na huku wakichimba kabuli la chama chao.hao ndio ccm na waganga wake tanamshukuru mungu kwa yote yanayo tokea kwani ni mipango yake thabiti.
   
Loading...