Nape, Nani rafiki wa kweli wa CCM?

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Sasa naona inagombana na kilamtu.

Iligombana na maaskofu kwa kushindwa kudhibiti wizi wa raslimali za taifa na rushwa.

Ikaomba urafiki na mashehe ila sasa inagombana nao kwa kushindwa kuwapa maakama ya kadhi na kuvunja muungano

Kwasababu inapesa ikaioa CUF na juzi imeoa mke wa pili NCCR mageuzi. Wanaichuna pesa tu.

Sa namuuliza nape Nani rafiki wa kweli wa CCM?
 
MAFISADI NDIO WENYE CCM NA B4 2015 NAPE ATATOSWA KAMA HUAMINI NENDA MLIMANI MUULIZE MKKU WA KITIVYO KIPYA CHA CHUO WAKUPE MIKAKATI YA KUMMALIZA KIULAINI KIKWETE KAMLENGESHA TU:lock1:
 
Back
Top Bottom