M4C ni noma, Wilaya moja tu wanachama zaidi ya buku 3 wamevua GAMBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C ni noma, Wilaya moja tu wanachama zaidi ya buku 3 wamevua GAMBA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chasha Poultry Farm, May 30, 2012.

 1. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,285
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Wakuu ITV katika tarifa yake imerusha M4C hukuo mtwara ambako wanachama zaidi ya 3000 wamevua gamba na kuvaa Gwanda, Hii ni kimbunga cha aina yake,
   
 2. Alonick Antony

  Alonick Antony Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli noma...ccm watajibeba safari hii!
   
 3. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waliosema hayawiiiiiiii, ohoo sijui bendera zimejaa za nyani kilimani hamtaweza, mfuuuuum aliyekwambia wanamtwara hawataki mabadiliko ya haki nani? Hureeee
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,352
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na bado. M4C nchi nzima CCM maji yamewafika Shingoni Hata pa kuanzia hawapaoni tena
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,208
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Nnauye Jr anajipanga kuwaletea Vua Gamba, Vua Gwanda, Vaa Uzalendo!! Sijui itaanza lini maana magamba wanaogopa hadhira siku hizi zomea zomea imezidi
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Hujasikia hakuna wagombea ktk ngazi za ccm mwaka huu!ni aibu kubwa.ccm inakufa vibaya kuliko KANU
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nami nimeona, nikajiuliza kwenye blog ya CCM kuna makala CDM yagonga mwamba Mtwara.

  Yaani makala ile ni kama ameandika Judith wa Kishua kwa jinsi ilivyokaa kimipasho pasho.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mkuu huna kazi ya kufanya hadi unasoma blog ya propaganda ya Magamba?
   
 9. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mama Dr.Slaa; Msiishie hapo Mtwara mjini, Nawashauri pia mkawaamshe na wamakonde wa Newala pamoja na Masasi kwa Che Mkapa.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  CCM blog wanakula matafishi yao.
  Ngoja nisiwatusi maana mods wa jukwaa hili wameshavuta petroli ni wakali kama nyuki!
   
 11. C

  Chuck j JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  tatizo lamcd ni hili'wakipata watu wengi mkutanoni bac,wanajua wamemaliza,bado,wananchi waelezwe uzuri/manufaa ya vyama vingi'na mapungufu ya ccm,wawahamasishe wa2 wajiandikishe kwenye lile daftari kubwa
   
 12. mashami

  mashami Senior Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  najaribu kuwaza vuvuzela anavyojianda kuja kupinga maana ndo kazi ake..M4c itawavua mpaka home kwao!
   
 13. m

  matawi JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yaani nahpe amefikia mahali anaikama cc em kiaina kwamba sasa siasa hapana ni uzalendo tu?
   
 14. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mwendo mdundo
  ila bila tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi 2015 ccma wataiba sana kura
  natabiri machafuko makubwa sana kama hatutapata katiba mpya mapema
  nasikia magamba hawataki itoke mapema labda baada ya uchaguzi ili waibe
   
 15. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,398
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ushauri wa bure kwa mhe.Kikwete,ajipange kuikabidhi nchi kwa makamanda wa Chadema kwa mikono miwili kwa kuepusha mazingira yanayoweza kusababisha umwagaji wa damu.Kifo cha ccm ndiyo mwanzo wa modern democracy where people can control their government without a regret. CHADEMA-Tumaini jipya la waTanzania.
   
 16. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,081
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Ni msimu wa upepo tu, utapita..!
   
 17. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ndo hawana uzalendo kwa kuwaibia masikini wa tanzania. Slogani yake haina mashiko.
   
 18. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  CCM ilizaliwa,ikakua,ikazeeka na sasa inakufa....2015 ndiyo inazikwa rasmi kwenye nyumba yake ya milele.
   
 19. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,412
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  habaki mtu,kombola la M4C linatisha
   
 20. T

  Topetope JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nape lengo lakubaki pekeyako linaonekana pole cccccccmmmmmm
  Hiyo kwishney
   
Loading...