Mh machemuli umeanza vizuri lakini kuna tetesi kuwa kazi yako ni kujenga nyumba Dar na Mwanza pia huko Ukerewe kutoka pesa za mgao za majimbo.
Kama ni kweli ama la wewe jitahidi kupeleka...
Kama imeshindikana kuwa na redio au gazeti basi nunueni vipindi kwenye tv na redio na andaeni vipeperushi, cd na vijarida vya habari zinazowahusu. Watu hawakuelewa kwanini mlitoka bungeni mara...
Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dar na Zanzibar kwamba chama cha wananchi CUF kina mgogoro mkubwa wa chini kwa chini wa uongozi.Inadaiwa Naibu Katibu mkuu wa chama hicho Julius Mtatiro anaweza...
Hotuba ya slave owner mashuhuri Willie Lych mwaka 1712 kwenye jimbo la viginia ilitoa muafaka wa jinsi ya kuwatawala watu weusi, hotuba hiyo ilipewa jina la Willie lych speech. Hotuba hio ilitoa...
Ndugu Wananchi,
Kama ilivyo ada, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, kwa kutujaalia uhai na kutuwezesha kumaliza mwezi Mei salama. Kwa kutumia utaratibu wetu wa kuzungumza kwa njia hii...
Marekani inasemekana kwa kiasi kikubwa kuifadhili jumuiya ya uamusho ya Zanzibar kwa kuipatia fedha na samani za ofisi. Hii ilijidhihirisha wazi kwa ubalozi wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na balozi...
Jamani tukubali au tukatae mda umefika watu inatakiwa tuwekane wazi kwajinsi mambo yalivyo badilika wazanzibar wamegundua kuwa wao ni watumwa wa tanganyika wameamua kushituka lakini watanganyika...
Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa...
Kwa kweli Mkuu wetu wa nchi anajitahidi sana kutafuta wawekezaji toka nchi mbalimbali kuja kuwezeza Nchini Tanzania. haieleweki kikwazo nini. AKiwa nchini Brazil, mwezi Aprili, 2012 Mhe. Rais...
jamani mkitaka kucheki nini kinaschoendelea Arumeru mashariki kwa kirefu zaidi kwenye picha tembeleeni web Tv ya chadema muone wazee wa kazi wanavyotoa Dozi kwa magamba, Haslima Mdee ndani ya...
Habari zinazo jitokeza toka Jana Jioni, Ni kuwa Nusu Mradi wa Mgodi wa Kiwira , excluding Mlima wa Makaa Ya mawe wa Kabulo, Umepewa Stamico na Serekali Italipa Madeni yaliyo limbikizwa na...
http://youtu.be/J_3Y2TNSTb0
Yaliyotokea Zanzibar leo na yale yanayoendelea ni matokeo ya kushindwa kwa utawala wa CCM kutatua matatizo ya Muungano. Lakini pia ni ishara ya kushindwa kwa...
Wakati tunaelekea kufanya mabadiliko makubwa ya kisiasa katika Taifa letu la Tanzania hebu tutafakari maneno haya ya Hayati Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere na tuangalie relevance za maandishi...
Katika mjadala wa uwajibikaji kati ya Jembe la CHADEMA Mchungaji Msigwa na Kilaza Mangungu wa nyinyiem, Kilaza Mangungu, ameonekana hasomi alama za nyakati, kwa kusema eti umma wa watanzania...
uchaguzi wa kuchagua wabunge wa afrika mashariki uliofanyika jana tarehe 18/04/2012 bungeni dodoma, umeonesha mengi. Kubwa ni hili la mgombea wa cuf kushinda ushindi wa kishindo. Akiungwa mkono...
....."Chadema kitakuwa chama cha mwisho,cha mwisho,chadema kitakuwa chama cha mwisho katika kuendeleza harakati za kuondoa amani nchini"....Mhe Mbowe-akiwa ndani ya Chadema squre(Jangwani) 26/5/12...
Kwenye umati huu wa watu wengine wetu tulikuwemo. Swali ninalojiuliza ni kama umati huu wa watu ulikuwa unajaa kwenye mikutano ya Kikwete kwa sababu ya kufuata yale aliyokuwa anayasema au ni kitu...
Yanayoendelea Zanzibar yanamwacha kila mtanzania kutafakari kivyake nini hasa kiini, nia na malengo mahsusi ya wanauamsho. Wao ni kikundi cha 'kidini' ambacho kinapigania Zanzibar kujitoa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.