Mawingu ya kashfa mpya kiwira

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,750
4,958
Habari zinazo jitokeza toka Jana Jioni, Ni kuwa Nusu Mradi wa Mgodi wa Kiwira , excluding Mlima wa Makaa Ya mawe wa Kabulo, Umepewa Stamico na Serekali Italipa Madeni yaliyo limbikizwa na TanPower, Madeni Hayo ambayo yamefikia Bilioni 57, zitatayarisho kwenye Bajeti Ijayo

KABULO Ambao pia umeuzwa Kikashfa na Ngeleja. amabo inasemekana Tanpower walilpwa na kapuni Ya Wa Australia USD 700000/-, sasa Wa Australia wanataka kuwauzia Symbion kwa ya juu zaidi au kuingia nao ubia.

Inasemekana Stamico imeshaingia mkataba na Mtoto wa Kigogo Mmoja ambaye anashiriian na kampuni ya Kichina, Na Stamico watatangaza Tenda Bandia, ili ktuvunga wananchi kama wanafanya kisheria. Jammani mpaka lini tutaendelea kufanya vituko vya kuikamua hii nchi.

Stamico imepewa kiwira ili kuficha siri za watu,na pia kuwa the milking Cow wa vigogo. Tafadhali hebu mwenye taarifa yoyote atuzindue ile tuwe macho kuchunga rasilimali zetu.
 
Tatizo lako kuna kitu unajua alafu anaigiza kama haujui, si utaje huyo mtoto wa kigogo ni yupi sasa. Na habari yako siungeisubiria uipate vizuri maana naona kila kitu hujui wakati ndio unaripoti

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Tuambie mtoto wa kigogo yupi na anaitwa nani than kureport issue mwenyewe then utake watu wakupe ukweli ilihali weye ndo umeriport. Tell us everything you have then we will contribute Bro!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom