Christian Magige kugombea ubunge wa Musoma vijijini 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Christian Magige kugombea ubunge wa Musoma vijijini 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KONGOTO, Jun 2, 2012.

 1. K

  KONGOTO Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..

  Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara hivyo basi wadadisi wa maswala ya siasa wanamuelezea kama atakua na mlengo wake wa mageuzi ya vuguvugu la siasa anazozionesha hasa hizi za mageuzi ya kweli basi atapenya kwa kasi kubwa sana..kwani kwa sasa vijana na wazee wengi wanataka mageuzi kuanzia kata na majimbo hadi taifa...

  Kijana mimi kwa upande wangu sina pingamizi juu yako kwani nimeweza kuona uwezo wako wa kujenga hoja kama utapata watu wazuri kukupa ushirikiano....hongera kwa kutangaza au kwa kuwa na nia ya kuwakomboa wakazi wa musoma vijijini

  Naomba kuwasilisha kwa wana janvi.........
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Anapitia chama gani mkuu ? Funguka kwanza
   
 3. K

  KONGOTO Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa bado hajaweka wazi lakin kuna rafik yake wa karibu anasema kwa mlengo wa siasa zake na msimamo wake anaelekeza sana Chadema kwani anaonekana ni mtu wa mabadiliko sana.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kama mpaka sasa hivi haijajulika yupo upande gani naona huyo anafuata upepo na wala hana msimamo
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkono mwenyewe ana mpango wa kujiunga chadema.
   
 6. mutabilwa

  mutabilwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yes wana fikra pevu nimeamini CDM kiko damuni.It's true kwamba kama hajaweka mabo hadharani kuwa atagombea kupitia chama gani huyu ni walakini make mtu makini hafuati upepo just say NITAGOMBEA KUPITIA CDM no way 2015 atakayekuwa mbali na CDM namwone huruma!!!!!!!!!!
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Eti msomi,CATHERINE MAGIGE ni form 2 kisha akapigwa ki2 na mdau wa madini wa mererani aitwae Fadhili Matambi then akaenda kusomea journalism baada ya kumtelekezea baba yake mtoto.BISHENI SASA.nashangaa ubunge kapata eti ni kupitia uwezo kichwani ama kati?
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Musoma vijijini itapasuka 2015, nawadokeza tu. ni vyema CHADEMA wakamgroom mtu mapema kugombea pale ama sivyo patachimbika, tatizo DR SLAA hataki mambo ya kugroom watu yeye anasema wananchi wataamua.
   
 9. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni Christian au Catherine Magige?
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Hivi hamjui kusoma au mnafanya makusudi!? Catherine Magige ni mbunge wa viti maalum na anatoka Bunda hatoki Musoma, anayezungumziwa hapa ni Christian Magige. tatizo liko wapi?
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ahhihaaa kumbe si catherine
   
 12. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dalai Lama vipi tena unaingia na desa la hisabati kwenye pepa ya jografia?
  Ni Christian sio Catherin.
  Naona wiki end imepamba moto.
   
 13. Ryaro wa Ryaro

  Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 2,663
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Time will tell. Naamini tutajitokeza wengi na kwa vile sio lazima nigombee kupitia chama chochote basi tutaona. Naamini 2015 bila kukaa chini na kukubaliana wananchi wa musoma vijijini watakuwa na wakati mgumu wa kuamua wampe nani kura na wamnyime nani. Ninauhakika nitagombea na ushirikiano najua nitaupata . Basi tusubirie muda kila kitu kitakuwa wazi.ni kazi kweli kweli na uhakika ninao jimbo lile litawaka moto. Kwa kifupi mimi sipo ccm ila kama upinzani utaona sifai nitakuwa mgombea binafsi na nitaleta upinzani mkali mpende msipende mtaona. Ninao uwezo wamenisomesha sasa ni wakati wa kuwatumikia. Kwa kifupi tena hadi sasa sina chama na sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote. Hivyo lolote walifanyalo hao hakina christina/catheline wajue kazi ipo na si mchezo...
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa hiyo wewe umetumwa kuleta ujumbe JF au ni wewe mwenyewe kama sio wewe basi weka CV ya Magige tuone.
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kwani ni Mara ngapi nyinyi magamba mnatuma watu hapa jf? Huyu ni gamba mwenzio
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  tehe tehe
   
 17. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,286
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkono kumng'oa yataka kazi, hakuna wa kumng'oa pale, katika list yangu ya magamba wachapa kazi, mkono yumo...
   
 18. K

  KONGOTO Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu Mr. CHRISTIAN MAGIGE hana undugu na hata hana uhusiano na Mbunge wa viti maalum...ila kwa taarifa za uhakika nilizopewa tena jioni hii kasema anagombea kuptiia CHADEMA...

  Hana papara jamaa anajiamini kwa kupitia chadema....mie namfham sana
   
 19. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Bure tu
   
 20. B

  Bob G JF Bronze Member

  #20
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sa wewe unakuwa mpambe kwa mtu usiena taarifa zake muhimu Wa Bongo Bwana! ni tatizo. Huu upambe sasa umekua 2 much. Mkono nimakini sana na anatekeleza sera kwa vitendo. watu hawataki hoja wanataka vitendo
   
Loading...