Umati wa Kikwete umepotezwa na nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umati wa Kikwete umepotezwa na nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Jun 2, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwenye umati huu wa watu wengine wetu tulikuwemo. Swali ninalojiuliza ni kama umati huu wa watu ulikuwa unajaa kwenye mikutano ya Kikwete kwa sababu ya kufuata yale aliyokuwa anayasema au ni kitu kipi kilichouzoa umati huu wa watu na kufanya wamfuate Kikwete kila kwenye mikutano yake ya kampeni?

  Ni wangapi leo waliokuwa wanamfuata Kikwete kwenye mikutano yake wanaweza kutuambia ni nini amefanikiwa kwenye yale aliyokuwa anayasema au kuahidi kwenye mkutano yake hiyo. Na jee ikiwa leo Kikwete atafanya mikutano maeneo yao wanayoishi watakwenda tena kumsikiliza?
   

  Attached Files:

 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaweza kwenda maana huambatana wasanii mbalimbali na watu huenda kwenye mikutano ya kikwete kwa sababu ya burudani zinazotolewa hapo mkutanoni ukizingatia kuwaona wasanii siku hizi imekuwa anasa.
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  walikuwa wanavutwa na tunguli za sheikh mlinzi Yahya
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Ina maana kwa sababu Mnajimu hayupo basi jamaa hana tena ndoto za kujaza watu kama hawa?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  jamaa ana kazi sana kwa sasa.......... naona kila jamii haimpendi tena
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kipindi hicho alikuwa haanguki kifafa.....
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Yule mzee aliekuwa anamsaidia kwenye mambo ya nyota hayupo tena lazima atakwama tu.
   
 8. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kipindi hicho watu walikuwa hawajamjua vizuri "his true colors." Wananchi walivutiwa na cover la kitabu wakakipenda, wakakinunua. Walipoanza kusoma wengi waligundua cover/ganda la juu la kitabu haliendani na contents za ndani. Walio wengi wameamua kukifunga mapema kabla hawajapoteza muda zaidi. Wachache bado wanafikiri labda utamu wa kitabu upo kwenye pages za mwisho. (Nafikiri hao wachache wakiitwa kwenye mkutano bado watahudhuria.)
   
 9. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hakuna wanunuzi wapya au wengine wanaoamua kurudia kukisoma wakiamini labda walikosema kutafsiri kilichoandikwa? Unstoppable mfano wako wa Kitabu umeswihi kwenye hoja hii.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sasa hapo tatizo linakuja kwenye "marketing" Wale wanachoki-market hicho kitabu wamebaki wachache mno. Infact na hao wachache hawana maneno yakumfanya mnunuaji avutiwe. Kumekuwa na mapendekezo yaku-modify ganda liwe na rangi na picha mpya, wengine wamefikiria kukiweka kitabu kwenye another form e.g. jarida, gazeti etc. Lakini strategy zote hizi zimegonga mwamba. Sasa wauzaji hawajui watoe wasifu gani ili kitabu kinunulike; maana wale wasomaji wamwanzo wameshawaeleza, na wanaendelea kuelezea. Wasomaji wapya wameangalia reviews na kwakweli hawataki hata kujaribu kununua. So inshort; vitabu vime-mdodea muuzaji. Baadhi ya wauzaji wa zamani wameamua kuvunja makubaliano waliyowekeana, na wamekataa kuendelea kuuza.
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Jini la mzee yahya.
   
Loading...